funga domo lako by Dully Sykes

(Verse1)
Mwanzo wa ubaya mwishoni aibu
We si ndio ulimuita malaya iweje leo unamuona zabibu
Si ulisema mbaya Mbona unaleta tabu
Unachonga domokaya bila sababu
Blah Blah blah
Pacpo kisa matusi kashfa na visa
Kutwa uishi kumtisha
Niachie wangu wa maisha
Blah blah blah
Pacpo kisa matusi kashfa na visa
Kutwa uishi kumtisha
Niachie wangu wa maisha

(Chorus)
Punguza visa blah blah blah
wakati umesha kwisha blah blah blah
Kwangu amekwisha fika blah blah blah
Hutaki tena funga domo lako
Punguza visa blah blah blah
wakati umesha kwisha blah blah blah
Kwangu amekwisha fika blah blah blah
Hutaki tena funga domo lako

(Verse2)
Jembe la kutupatupa linaumiza mikono
Wajipa kuchupa chupa na kutaka mapambano
Umelivamia fupa limekwisha kung'oa meno
Na kila gombania fupa blah blah blah
Blah Blah blah
Pacpo kisa matusi kashfa na visa
Kutwa uishi kumtisha
Niachie wangu wa maisha
Blah blah blah
Pacpo kisa matusi kashfa na visa
Kutwa uishi kumtisha
Niachie wangu wa maisha

(Chorus)
Punguza visa blah blah blah
wakati umesha kwisha blah blah blah
Kwangu amekwisha fika blah blah blah
Hutaki tena funga domo lako
Punguza visa blah blah blah
wakati umesha kwisha blah blah blah
Kwangu amekwisha fika blah blah blah
Hutaki tena funga domo lako

Punguza visa blah blah blah
wakati umekwisha isha blah blah blah
Kwangu amekwisha fika blah blah blah
Hutaki tena funga domo lako

Punguza visa blah blah blah
wakati umekwisha isha blah blah blah
Kwangu amekwisha fika blah blah blah
Hutaki tena funga domo lako
.....Till fade

No comments:

Post a Comment