kusemea lyrics-dogo aslay



artist:Dogo Aslay
song:kusemea
time:4:05
year:2011

(Chorus)
Tena inaniuma kwa sana leo
Nikitoka naenda kumwambia mama leo*2
Naenda kusema kwa mama kusema*2                                                                               

(Father's voice:wewe wewe mwanakidagala mkubwa ngalawa we)

(Verse):
Ooh Nyumbani mama
umemwachia buku
kishtobe bar umemnunulia kuku
Ukirudi nyumbani mikono mitupu
Tena kurudi kwako ni usiku
Inaniuma nasema
sinyamazi hata uninunulie nyama
(Father's voice:akununulie nan nyama utakula dagaa).
Nikitoka naenda kumwambia mama (Father's voice:usivanye ivo
Nasema nasema
(Father's voice:usivanye ivo mwanangu :
aslay:Nasema nasema
(Father's voice:we mtoto wa kiume bwana kuku kuku kuku nn shwetani we)

repeat(Chorus)

(verse)
Leo nyumbani patachimbika
Nitamwambia hadi sehemu uliyotoka
Nasema leo mbona patanuka
(Father's voice:unga nanunua mm au ww)
Namweleza mama pamoja na kaka
We baba mbona si unatutesa
Unaondoka hutuachii hata pesa
Namwambia yote yako makosa
(Father's voice:eeh utaama
Pengine utakuja kuyaacha
(Father's voice:utamponza mama ako muende kiamba mkunde)

repeat(chorus)

(Father's voice:Nyie watoto mliozaliwa wakati huu wa jakaya yupo madarakani mna shida nyie kila kitu mnajifanya mnajua
Usiku mrefu mwanangu)

Nasema nasema
Inaniuma sana
Kila siku nyumbani kugombana*2
Weiyee eeh inaniuma sana weiyee eeh kila siku kugombana*2
Poteza record
Oiye eeh
Mkubwa na wanae
Oiyee eeh till fade

picture.makavu blog
kevoo

No comments:

Post a Comment