NISEME BY YAMOTO BAND




(Intro)
Hasara baba Yule,sadick baba Yule,Shukuru baba Yule
Baba baba uyo
Baba baba uyo

(verse1)
Ale baba uyo katoka kazini zawadi mkononi kaleta na ungo
Ale baba uyo katoka kazini zawadi mkononi kaleta na ungo
Tusipate tabu ya kupeta mchele
Ale baba umerudi nipe soda nikaringishe uko nje
Amina Salai waringie na mimi niringe nitambe
Ila baba mama na mjomba jitu wamepigana
wamemwaga maji kitandani kwako na shuka wamechana
Ila baba mama na mjomba jitu leo wamepigana
wamemwaga maji kitandani kwako na shuka wamechana
nililia sana aah ooh
Dad kwan shabani mwanao 
analaliaga kifua cha mama kwani na yule mwanao
acha anko mangi Yule wa banda la video 
anapenda kujaga usiku kwani Yule ni nduguyo
tena dad ukitoka na mangi anaingia 
ananiletea bazoka na pesa ya kutumia
ila shabani simpendi  hapendi kunipa hela
kazi kumpiga mama na pesa anachukua
wanakaa sisi wakionana kwenye mabano wanachofanya 
atanipiga nikikwambia alishasema
wanakaa sisi wakionana kwenye mabano wanachofanya 
atanipiga nikikwambia alishasema mama

(Chorus)
niseme nisiseme sema ooh niseme ooh
niseme nisiseme sema aah niseme ooh
niseme nisiseme sema ooh niseme ooh
niseme nisiseme sema aah niseme ooh

(Verse2)
heshima kwako baba vipi Maputo na pipi umeniletea
dukulanikaba unakotoka ni dhiki kututafutia ooh baba yoo
unapokwenda kazini uja mgeni mfupi kimo 
ana madevu kama osama sijui nani ila bishoo
anakujaga nyumban kufuata nini mbilikimo
Mama kaniambia nimuite anko Jon
bora leo baba uko mama uko me nataka niongee
kuna jambo lanitatizaga pa nyuma ukiondoka baba
bora leo baba uko mama uko me nataka niongee
kuna jambo lanitatizaga pa nyuma ukiondoka baba
mwenzako mama ananitumaga chakula nipeleke gengeni
pale  kwa  mzee kutafuna hapa kati sijui kuna jambo gani
siku nyinginwe natumwaga na zaga kama nyanya na vitunguu
siku nyingine hadi pesa napewaga nipeleke kwa mama ooh
siku nyinginwe napewaga na zaga kama nyanya na vitunguu
siku nyingine na pesa napewaga nipeleke kwa mama ooh


(Chorus)
niseme nisiseme sema ooh niseme ooh
niseme nisiseme sema aah niseme ooh
niseme nisiseme sema ooh niseme ooh
niseme nisiseme sema aah niseme ooh

Beat plays till fade…………..


2 comments: