leka dutigite lyrics by Kigoma all stars

Kigomaaa aee kigoma weeh tunayo furaha leka dutigite
Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke
Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke
Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke

(ommy dimpoz)
K k k k town kasulu ndipo baba alipozaliwa ooh japo nipo Dar 
Naupenda mkoa wangu kk kigoma kama vi
paji tumejaliwa
Kaseja na linya fahari mkoa wangu
Amawesele hivilibwani hivikunakadwumba (pozi kwa pozi)
Kigoma mkoa wangu ndio fahari yangu

Ardhi yenye rutuba ya kustawisha chelewa
Gombe na mahali wenye sokwe wasiolewa
Kigoma inapendeza sanaaa
Tunashukuru hivi ndio ninavosema
Nina furaha mbuga zetu
Nina furaha mafuta yetu
Ninafurahi eei ninafuraha

Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke

(chege)
Kigoma ndipo nilipotoka nimekuja dar kutafuta
Siku zote ntawakumbuka
Najivunia na sitajuta (nakumbuka)
Nakumbuka mama alisema ( nakumbuka)
mkataa kwao mtumwa dutigite

Kigoma inatambaa Tanganyika inabamba
Tufurahi tusherehekee pamoja
Twajivunia kigoma
Tunamshukuru maulana

Kigoma lango la Tanzania
Bandari kwa kahawa shaba kwa matania
Amani kwa wazawa kasulu kibondo ubunza

(baba levo)
Avandu bakundi vikogwaaa
Ziwa refu tunalo
na madini tunayo
Tuna mbuga za wanyama kama gombe na mahale
Ardhi safi tunayo na vipaji tunavyo
Sauti safi tena tamu tamu tamu tamu
Vigelegele na mashumamushamu
Kigoma yetu mambo bambambam

Meli ya lyemba wanasiasa mashujaa
Watetezi wa taifa kigoma tunatoka wote mastaa
Miss Tanzania K-lynn
Kaseba champion

leka dutigite wishala mwineke
Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke

Wese na ugali wa mhogo aakha wa muhogo
Ndivyo vimenifanya niwe diamond
Kwa vitenge na mashuka na chumvi kidog
Tena na muda nikawa mfalme
tena kigoma ya sasa sio kama ya zamani kigoma ya leo imesonga mbele
tena kigoma ya sasa sio kama ya zamani kasulu ya leo imesonga mbele

Amani na upendo ndio lugha ya kigoma
Kigoma ishaghoma kigoma yaenda mbele
Rangi yako ya kijani upepo wako ni mwanana
Kigoma nakupenda kigoma unanipenda

Amani itawale kigoma
amani itimie kigoma
amani inyumba kigoma shigoma kigoma
Amani itawale kigoma
amani itimie kigoma
amani inyumba kigoma shigoma kigoma

Kigoma shukrani kigoma
Kigoma nyumbani kigoma

Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke
Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke
Tunayo furaha kuwa wazawa wa kigoma leka dutigite wishala mwineke

Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
Kigomaaa aee kigoma weeh leka dutigite wishala mwineke
…….till fade

8 comments:

 1. Naomba kujua maana ya leka dutigite wishala mwineke

  ReplyDelete
  Replies
  1. Maneno halisi ni "LEKA DUTIGITE, WISHAVU AMENEKE"
   Maana yake ni "ACHA TUCHEZE, MWENYE HASIRA APASUKE"

   Delete
 2. Nashukuru kwa mwenye kuhakikisha tumepata hili shairi la Kigoma All Stars

  ReplyDelete
 3. kigoma kweli ni nyumbani...muziki mzuri....

  ReplyDelete
 4. I'm just so smitten by how you guys take pride in your nativity and your sense of nationalism as well...That was an amazing hit, hats off guys

  ReplyDelete
 5. The rhythm of the beat is just unique..

  ReplyDelete
 6. Hizi lyrics ni upotoshaji mkubwa kwenye maneno ya lugha ya kiha. Hakuna hata neno moja uliloliandika ambalo ni sahihi except maneno "LEKA DUTIGITE" peke ake

  ReplyDelete