hataki lyrics - Jos Mtambo


Jos MtamboSong:hataki
Artist:Jos Mtambo
Time:3:58

(verse.1)
Nilikutana na kamazee aisee kakali
Kapo kaunta me nakunywa safari
Gaa damn bonge ya demu
Sio siri mazee nikawa hoi
Ngozi tu nyororo
Sauti bwana murua
Uwez jua konyagi anakamua
Aaah low kwa pozi lako hallow
Unakunywa konyagi au kuwa na mpenzi
Akajibu nipo tu nmechil
Sina haja na mapenzi
wanaume hawana deal
Halou kana lips nzur kaiongea kama vile kana kiburi
Lipshine ndio duu ni kioo
najiona bwana aisee am in love
Lakini kwanini akapendi mapenzi au kuna mwanaume amemfanyia ushenzi

(chorus)
Nipe basi hata namba yako
Niahidi utakuja tena
Bonge la demu what's your name
Hivi nani kamuuzi huyu manzi mazee
Nipe basi hata namba yako
Niahidi utakuja tena
Bonge la demu what's your name
Hivi nani kamuuzi huyu manzi mazee

(Verse.2)
Nikagundua huyu demu ni ana hasira
dry konyagi kwann asinywe bia
Nipo hey mama slow down utalewa sana
Akasema uwa nakunywa nikiwa
nina
uchovu
sana
mademu bwana
Ni mpuuzi gani kakuuzi leo mama
Akaniangalia macho anarembua
Jose leo utalia macho yametulia
Akalaani wanaume wa  siku hizi hawafai
Hamtuthamn si kwenu nan
Au katuni au vipi au wa hamu
si ni binadamu na wala sio masanamu
Na machozi kwa mbali nikaanza ooho
Akaongeza kidogo na tusi ooho
Anafuta chozi naskia ety ooho
We bwana eeh ooho
Bonge la ooho

(chorus)
Nipe basi hata namba yako
Niahidi utakuja tena
Bonge la demu what's your name
Hivi nani kamuuzi huyu manzi mazee
Nipe basi hata namba yako
Niahidi utakuja tena
Bonge la demu what's your name
Hivi nani kamuuzi huyu manzi mazee

(chorus)
Nipe basi hata namba yako
Niahidi utakuja tena
Bonge la demu what's your name
Hivi nani kamuuzi huyu manzi mazee
Nipe basi hata namba yako
Niahidi utakuja tena
Bonge la demu what's your name
Hivi nani kamuuzi huyu manzi mazee

(verse3)
Nikamshika kwa kidevu kumpa pole
Akainuka akasema anaenda toilet
Aisee huko nyuma kumkosa roho inaniuma
Inauma zaidi vile demu anayumba
Nikainuka niende mpa tafu asiunguke
Yupo Don't touch me sijalewa
Ooh men kapiga de sio camon shori
Au ndio keroro
Demu akajikata pale
Nikazuga kucheka pale
Nikarudi palepale na mawazo yaleyale
Kumnasa demu yule yule
Akirudi kuketi mambo ntayaset
Akarudi akakaa anaongea na mimi anacheka anagonga anazidi kunoga
Nipe basi hata namba yako
Nini sasa leta promise yako

(chorus)
Nipe basi hata namba yako
Niahidi utakuja tena
Bonge la demu what's your name
Hivi nani kamuuzi huyu manzi mazee
Nipe basi hata namba yako
Niahidi utakuja tena
Bonge la demu what's your name
Hivi nani kamuuzi huyu manzi mazee

''KevOo''

check na video ya wimbo wa nothing 

No comments:

Post a Comment