nimpende nani lyrics by mawazo

Nimpende nani, Nimpende eh
Nimpende nani, Nimpende ah ah
Nimpende nani, Nimpende eh
Nimpende nani, Nimpende ah ah

...we nlikuaga na mupenzi, akanizingua
Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua
isije siku miezi, naye akanisumbua
ikawa tena kitenzi, mzigo kuutua

Naogopa sana vichanga wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda
Nikazama na huku nna mapenzi ya kweli, wakaniacha wakaenda
We si unajua, wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndo balaa
wengi ni wajanja watoto wa mjini, wamejawa utapeli, Tamaa
wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndo balaa
wengi ni wajanja watoto wa mjini, Nimpende nani?

Nimpende nani, Nimpende eh
Nimpende nani, Nimpende ah ah
Nimpende nani, Nimpende eh
Nimpende nani, Nimpende ah ah

Yasiwe kama ya Wema Sepetu, kila siku magazeti
Ajue nidhamu na mila ya kwetu, Mjuzi kupeti-peti
Usimtake ka' Uwoya nimteme ana hasira, Mpole kama Jokate
Ila sauti ka' Wema akiwa analia, kicheko kama cha fetty

Naogopa sana vichanga wa sasa kwenye mapenzi wasije wakanitenda
Nikazama na huku nna mapenzi ya kweli, wakaniacha wakaenda
We si unajua, wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndo balaa
wengi ni wajanja watoto wa mjini, wamejawa utapeli, Tamaa
wazuri ni wengi lakini kumpata mwenye mapenzi ya ukweli ndo balaa
wengi ni wajanja watoto wa mjini, Nimpende nani?

Nimpende nani, Nimpendee eh
Nimpende nani, Nimpende ah ah
Nimpende nani, Nimpendee eh
Nimpende nani, Nimpende ah ah

we nlikuaga na mupenzi, akanizungua
Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua
we nlikuaga na mupenzi, akanizungua
Hivyo nataka muenzi, wala maradhi naugua

No comments:

Post a Comment