Dj Cleo kutua Bongo wikiend hii


Yule mkali wa kwaito kutoka South Africa DJ Cleo anatarajia kupiga show yake hapa siku ya Jumamosi ya tarehe 10 mwezi huu. DJ Cleo anayetamba na hit song kibao kama Wena ng' Hamba Nawe, Akulalwa, Mind ckuf pamoja na Facebook ambayo ndio imewateka wakazi wengi wa kibongo na dunia kwa ujumla. Wasanii wakibongo watakaosindikiza show hii ni pamoja na Suma Lee, Ommy Dimpozi, Dully Sykes, Chege & Temba, Juma Nature, Tip Top Connection, Linex na wengine kibao.


Show hii itafanyika pale Kijitonyama kwenye viwanja vya posta na nimeambiwa kiingilio kitakuwa shilling elfu 10 kwa kichwa, 


ni mwendo wa kusocialize ndani ya facebook

No comments:

Post a Comment