freestyle lakuchumpa lakupalama by Godzila ft Joti



Godzila


yeah
wat up my nigga
its just a freestyle my nigga
Welcome to my mix ya west coast zillax
They call me king zilla
you know, and everybody

sema la kuchumpa la kumpa rama
Bei che buku jero halina gharama
la kuchumpa la kumpa rama
Bei che buku jero halina gharama

ha la kuchumpa la kumpa rama
kavaa mgambo mpaka afisa usalama
wanavaa gucci, mpaka Louie V
Mi na la kuchumpa, bado VIP
Nikivaa naonekana kama kidume
Buku jero nimesagula mitaa ya karume
Nikiingia club nakamata hadi wachumba
Joti
hawajui nimesagula kwenye mitumba
Usiku wanakuja wachawi vigagora
Hawanilogi wanadata na bonge la Ndula
Chini la kuchumpa, kati jinsi chupa
hadi usoni nikitembea hata rufiji
sinaga mkanda kiunoni mi zangu mgwiji
Mi mtoto pori, afu sina stori
Miaka mia nane natembea na haliishi soli
twende

la kuchumpa la kumpa rama
Bei che buku jero halina gharama
la kuchumpa la kumpa rama
Bei che buku jero halina gharama

Dont touch me, utanichafua
so buti kama hili we huwezi nunua
Nasema dont touch me, utanichafua
na buti kama hili we huwezi nunua
Nasema dont touch me, utanichafua
so buti kama hili we huwezi nunua

Nasema bebabeba, Mia tano!
Nasema mia tano, Beba!
Mia tano!
Nasema bebabeba, Mia tano!
Nasema mia tano, Beba!

la kuchumpa la kumpa rama
Bei che buku jero halina gharama
la kuchumpa la kumpa rama
Bei che buku jero halina gharama

No comments:

Post a Comment