Martha Mwaipaja afunga NdoaStaa wa muziki wa Gospel Tanzania Martha Mwaipaja hatimae ameolewa, pembeni yake ni mumewe Pastor John Said. Martha Mwaipaja ambae ni miongoni mwa mastaa wachache wa Gospel wanaouza sana kwa sasa, ana historia iliyondefu kidogo kutoka kuwa mfanyakazi wa ndani mpaka kuwa staa wa gospel 

 source: Millardayo.com (picha kutoka kwa Silas Mbise)

No comments:

Post a Comment