nivute kwako lyrics by Dayna ft Barnaba(chorus)
Nivute kwako Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute baby
Nivute kwako ,Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute

(Verse1:Dayna)
najua unanipenda nami nakupenda wewe
Najua nakupenda ila nakungoja uanze wewe
Moyo wangu, wakupenda wewe pekee
Nivute kwako, Nitoe huu upweke
akili yangu, yakuwaza wewe pekee
Nivute kwako, Nitoe huu upweke
endapo utasema hutokaliwa [wewe!]
endapo utasema hutofikiriwa (wewe)
endapo utasema utakubaliwa
utakubaliwa baby!

(chorus)
Nivute kwako, Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute baby
Nivute kwako ,Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute

verse2:Barnaba
Kama kukuvuta ntakuvuta, ila upendo wangu kwako usijeshuka
ziko shida nyingi na mabalaa, vumilia hata tukishinda njaa
mola hugawa ridhiki kwa mafungu, subiri zamu yetu atafika kwetu

(Dayna):Uh ziko shida usijali, usijali usijali
(barnaba):mi ni wako tayari, tayari tayari
(Dayna):ziko shida usijali, usijali usijali
(Barnaba):mi ni wako tayari, tayari tayari

uhh baby

(chorus)
Nivute kwako, Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute baby
Nivute kwako ,Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute

kapanga yeye!
mimi kuwa nawe!
uwoga utowe!
ungechelewa ningesema mwenyewe!

Nivute kwako, Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute baby
Nivute kwako ,Niwe wako milele
Nivute kwako, nivute


chek video hapa


No comments:

Post a Comment