Famous lyrics by Jay Mo


bofya hapa kuipigia kura hii nyimbo

 everywhere i go, they point at me
everything i do, they know its me
Im so Famous!, Famous!
Im so Famous!, Famous!
Famous! Famous! Famous!

Nikipita kila sehemu ma fans wananiita jina
sura yangu wameshaikremu na sauti inajulikana
maredioni ninavyopigwa kwa tv ninavyoonekana
gazetini ninavyopamba ******najulikana

yote sababu ya umaarufu kama huwezi kuuita umashuhuri
ingawa ni wa pesa madafu  unazo faida mbalimbali
kupata sioni tough kama umaarufu u handle
vinginevyo uta'hit muda mfupi ka babu wako wa loliondo
kuna waliozaliwa nao, kuna walioupata utotoni
kuna uliowafuata wao, sio kwa magumashi ya mjini
na kuna waliopiga bao, kwa kupitia burudani kutokana na vipaji vyao
kwenye sanaa michezoni...

sio kama Zitto Kabwe na umaarufu wa kisiasa
ama umaarufu wa pesa ka wa Manji na Bakhresa
mi  umaarufu wangu ni wa mistari nayoandika
Im super famous sio kwa pamba kali nlizonyuka, Mo!

everywhere i go, they point at me
everything i do, they know its me
Im so Famous!, Famous!
Im so Famous!, Famous!
Famous! Famous! Famous!

hehe
nimesaini autograph nyingi zaidi ya mkataba kwa form
na nimegonga warembo wengi zaidi ya nakala za mamu
labda if i wasnt famous, nisingewapata hawa madem
au pesa nyingi wangenichuna mpaka kutimiza yangu dream

celebrity mimi simple sina mbwembwe sina pozi
you see me riding solo, sina wapambe sina walinzi
wananiita role model nina ushawishi ka kiongozi
so yule model aliye nusu uchi kwenye maonyesho ya mavazi
sina umaarufu wa kishamba kila chaka kuuza sura
nimeanza kwenye nyumba sina pressure na corrola
sembuse we bajaji naeza panda daladala
makondakta mi washkaji so nasafiri kisela
mpaka raisi ananijua, nenda waulize wanawe
wasipoongea na mshua mi ntakutana nae mwenyewe
tuzo hawajawahi nigea, this year wamenigea wenyewe
baada ya lundo kunibania, ambazo nilizostahili nipewe, Mo!

everywhere i go, they point at me
everything i do, they know its me
Im so Famous!, Famous!
Im so Famous!, Famous!
Famous! Famous! Famous!

Ukishakuwa maarufu lazima ukubali skendo
sio kila siku watasifu lazima watapiga dongo
kuna wengine hawapitishi hata wiki wamefanya jambo
na wengine wakiona hawasikiki basi hujifanya wana scandal

Juma ndo yule yule umashuhuri haujanibadilisha
ni upara hakuna nywele style ya kiduku itapita
mbele hawana habari..

with different cameras taking pictures
kwenye different red carpets super famous mi napita
mara niko northen kenya kwenye kambi za wakimbizi
umaarufu ndo unanifanya mpaka niitwe ka balozi
naenda hadi vijijini wakulima kuwafuta chozi
na ndo maana sionekani nikizama maisha na ya abuse
nishapita muongo mmoja tangu nianze kuitwa famous
sio njuka mwaka mmoja mambo mengi nimeshayaona
wengi leo wako chali na walivuma ile kinoma
jirushe kiakili kabla ryhme light yako haijazima

everywhere i go, they point at me
everything i do, they know its me
Im so Famous!, Famous!
Im so Famous!, Famous!
Famous! Famous! Famous

No comments:

Post a Comment