Jose Chameleone msanii pekee atayeiwakilisha Afrika Mashariki katika UZINDUZI wa michuano ya LONDON OLYMPICS 2012Jose Chameleone amepata dili la kuperform kwenye uzinduzi wa michuano ya olympic jijini London
Jose alipata dili hilo kupitia kampuni yenye makazi yake nchini Afrika kusini inayojulikana kama AS Entertainment.Kampuni hiyo ndio iliyompatia deal msanii huyu mwaka 2010 katika michuano ya kombe la dunia iliyofanyika nchini Afrika kusini
Kampuni hiyo bado inafanya mazungumzo na Jose kiasi gani anatakiwa kulipwa kwenye show hiyo
na Jose ndio msanii pekee ambaye mpaka sasa inaonekana atashiriki kwenye uzinduzi huo akitokea Afrika mashariki
michuano ya London Olympics inatarajia kuanza 25July kwenye saa 10 jioni mpaka saa 2 usiku with two football matches of women's preliminaries at Millenium Stadium, Cardiff

No comments:

Post a Comment