sirudi tena lyrics by Mabeste ft Jux

sirudi teee..
tena na tena na tena na tena
tena na tena na tena na tena, ha!
sirudi teee..

na locality hii syllabus
bora peke yangu zaidi ya yule mama abas
wapi safe place progress
mitikasi no stress
confidence money power, heavy influence
mi sirudi tena nikirudi ni accident
exchange rafiki job ni evidence
kwangu holiday
niko na ghafi na boogie dance
nipo kwa away place na ndugu wengine sense

mi sirudi..
nikikumbuka nilikuwa benchi kwenye mechi
nani na messi kilaga sio pancha
mpaka mapeche
flow ndani ya flow naziwekea ma dress
niko interested zaidi ya ku'copy tu na ku'paste
na bado pia ikawa ngumu ku understand mi
and by the way ah, hili game liko under mi
mi sirudi tena unifate maybe ndo reality
ni mipango tu mki stand kama boss usije uka panic!

sipotezi masaa, nakimbiza chapaa
kwenye dhiki mi sirudi te..te..te,,,te
tena na tena na tena na tena
sirudi te..te..te..tee
tena na tena na tena na tena


sipotezi masaa, nakimbiza chapaa
kwenye dhiki mi sirudi  te..te..te,,,te
tena na tena na tena na tena
sirudi te..te..te..tee
tena na tena na tena na tena


hii ni rap mathematical  high preach
rapa tino hermy B collabo ni hybrid
ray city sirudi tena na bullshit kule haiko fit
[mashairiBongoflava.blogspot.com]
jamaa wako luv mi nabaki huku haiko dhiki
mi sirudi tena super duper bite beat
hakuna ku hit viti ni bubblegum you haiko deep
you got!? siri imefichuka tena haiko zipped
mi sirudi tena i know najua ntafeel guilty
cause dah i saw jamaa wako na jealous
kama ikibidi nirudi no sipendi haterz
against enemy n only treaty ndo mitindo
na kwenye forest mbinu sumu ya ulimi ndo fimbo
sirudi ukipenda follow my lead ya tell us
si hivyo huwa unajua ntarudi no
huku niko niliko mungu amenijalia afadhali
sirudi tena my boys mi mshale

sipotezi masaa, nakimbiza chapaa
kwenye dhiki mi sirudi  te..te..te,,,te
tena na tena na tena na tena
sirudi te..te..te..tee
tena na tena na tena na tena


sipotezi masaa, nakimbiza chapaa
kwenye dhiki mi sirudi  te..te..te,,,te
tena na tena na tena na tena
sirudi te..te..te..tee
tena na tena na tena na tena

sirudi tena pale kwa jana, sio
ishara ndo inanifanya niogope nitoke mbio
nitacheka nikiondoka nikirudi kilio
mi nahepa mbio sirudi why? tega sikio
mi nakereka na mabaya tukio
magharibi naona mashariki mi ndo kimbilio
sirudi tena moyo umri umeshani cost
wa karibu yangu jamaa hata my big brother
ah, afadhali nikijifariji
mi nasonga kando kuepuka magaidi
no future mtu ila mungu ndo shahidi
walificha nikachunguza vema ka CID
bado nahitaji kwenda mbele mi si reverse
kilichofichwa kimefichuka siri basi
sirudi tena pale mbele naongeza kasi
mi siko normal ulishaniumiza sana ile level..so!

sipotezi masaa, nakimbiza chapaa
kwenye dhiki mi sirudi  te..te..te,,,te
tena na tena na tena na tena
sirudi te..te..te..tee
tena na tena na tena na tena


sipotezi masaa, nakimbiza chapaa
kwenye dhiki mi sirudi te..te..te,,,te
tena na tena na tena na tena
sirudi te..te..te..tee
tena na tena na tena na tena

No comments:

Post a Comment