punch after punch lyrics by staminah, izzo business ft godzilla


punch after punch niko slim ka' shady
nakaza mwanzo mwisho hata nusu silegezi

[Staminah]
sishushi mikono chini kama katuni wa konyagi
nazidi tema madini kama mgodi wa buzwagi
hiki kichwa kina google karibu usiache mistari
wapinzani mashimo ya chudo nawachezea kwa kamari
ah, mi sio robot nafanya nnachokipenda
nna uchu na hizi noti mpaka natokwa na udenda
hii track ina umeme, usipime bila tester
flow zangu zina majotro katafute thermometer
nawaacha midomo wazi nakuwakilisha mtu che
mistari yangu ina vitanzi nchokoze nikunyonge
Moro imenipa kibali niiongoze Dar es salaam
Ndo maana, mi naitwa mkali zaidi ya moto wa jehanamu
wanantishia, kuning'oa meno wakati tayari nna mapengo
wanantukana kwa maneno, nasamehe kwa vitendo
ki mziki mi nna hasira zaidi bikra mwenye ukimwi
nawatoa tatu bila wanaotaka bifu na mimi man


[Zilla]
punch after punch niko slim ka' shady
nakaza mwanzo mwisho hata nusu silegezi
kwa hizi style lazima niggaz wote guguzi
you google me baby, i said you google me baby
kwa hizi style niggaz in the town let go
mp3 number one download
you google me baby, i said you google me baby
ukianza na number moja mi naanza na kwenye zero


[IZZO B]
Raia wanahitaji hoja sio visa na migogoro ah
ngoja ngoja kwenye matumbo ni kero
Mziki uvuke border, sio  Mbeya uiishie Moro ah
nipo ugenini, wenyeji hazikabi
mi mkali tangu zamani, hapana mi si mzugaji
tangu niko form four, na'hustle kimpango wangu
oh oh oh no, usi'mess na dili zangu
kesheni mkiomba mungu, so mnaomba hizo kufeli
ridhiki huja kwa mafungu sichoki kupiga dili
nachukua nauli zao, siwafikishi wanapokwenda
washa'salute wengi wao, wanapata wanachopenda ah
Mbeya mbarikiwe, mbarikiwe tena sana
nikikosa msichelewe, msichelewe kunikana
kuna A mpaka Z, kwenye hizi alphabet
mi ni mTZ, long tyme nishaji'set
ah ah like Dipset!

[Zilla]
punch after punch niko slim ka' shady
nakaza mwanzo mwisho hata nusu silegezi
kwa hizi style lazima niggaz wote guguzi
you google me baby, i said you google me baby
kwa hizi style niggaz in the song let go
mp3 number one download
you google me baby, i said you google me baby
ukianza na number moja mi naanza na kwenye zero
(http://www.thebongolyrics.blogspot.com/)
[Staminah]
verse zangu za kiDaudi,  zinawadondosha magoliath
mori zangu kama hood, zinafuka kwa hisabati
I was born to like this, difficult climb
fake emcees nawa'bite kwa punch wana'resign
mi ndo, ujana wa aloe vera daima siishiwi ukakasi
ubongo una chembe za hela, hauna ndoto za bunuwasi
nina, ujinga kidogo, maujanja ndo vifurushi
ndo maana, kipindi mdogo nilivaa nepi za gucci
okay, hizi blow, hii game haihitaji papara
ndo maana sichagui show, nakamua hadi kipaimara
wanaringia swagga na mi'Suppra ya Korea
staminah namsound mchaga ila kwa flow wanapotea
mziki kwangu sio viatu mpaka niseme naujaribu
sitaki kuishia tatu moja itanipa majibu
siwasikii, wanafiki nawafuta bila duster
all i need is snare na kick ili street nilete disaster

[Zilla]
punch after punch niko slim ka' shady
nakaza mwanzo mwisho hata nusu silegezi
kwa hizi style lazima niggaz wote guguzi
you google me baby, i said you google me baby
kwa hizi style niggaz in the song let go
mp3 number one download
you google me baby, i said you google me baby

No comments:

Post a Comment