my by Ally Nipishe

Pishe pishe pishe ally nipishe
Imam ze boy
Pishe pishe pishe ally nipishe
Pishe pishe pishe ally nipishe

(verse1)
Mawazo kina yametawala kichwa changu
Ila uwezo sina kulitazama jicho langu
Sina nukta mimi katika mapenzi yangu
Wala sina koma kula penzi langu
Najua kupenda me sijui kuumiza
Nishampenda hata kama ni bartender
Najua kupenda me sijui kuumiza
Nishampenda hata kama ni bartender
Jamani moyo moyo una macho nao
Jamani moyo umemuona yeye
Nasema moyo una macho nao
Jamani moyo Moyo wangu mimi

(chorus)
Japo kwenu mbali nitakuja siku moja
My usijali usichoke kuningoja
Japo kwenu mbali nitakuja siku moja
My usijali usichoke kuningoja
Na ninavyohisi tunda langu utalitunza
Wajua sababu niko mbali nakumisi
Na ninavyohisi tunda langu utalitunza
Wajua sababu mamama niko mbali nakumisi

(verse2)
Tatizo moyo
Umeniangukia mimi
Uko ulipo naomba my ujiamni
Natamani unipe mapenzi uko ulipo
Usijali niombee inshalah nitakuja
Natamani unipe mapenzi uko ulipo
Usijali niombee inshalah nitakuja
Kisa sina pesa
We ndio wangu wa haki
Ona naishi kwa kukesha na ndoto hazikati
Ona tunatoana roho kwa yalab mapenzi aliyoacha baba
Ona tunatoana roho kwa yalab mapenzi aliyoacha baba
Ally mimi ally mimi

(chorus)
Japo kwenu mbali nitakuja siku moja
My usijali usichoke kuningoja
Japo kwenu mbali nitakuja siku moja
My usijali usichoke kuningoja
Na ninavyohisi tunda langu utalitunza
Wajua sababu niko mbali nakumisi
Na ninavyohisi tunda langu utalitunza
Wajua sababu mamama niko mbali nakumisi

No comments:

Post a Comment