tema mate by Madee

Made umebadilika
yeah sisomeki

Wachaga zoba Wachaga zoba Wachaga zoba
Mimi mimi madee x2

(verse1)
Aliyepanga ni mungu
Wanaleta majungu
Me nawapa uchungu
navyowapanga kwa mafungu
Unaniiga unanifuata
Me nipo nzese nakula bata
Demu wako sijamtaka
Ukimkuta ghetto we ondoa shaka
Wanatememeka wanaweweseka
Wanavyoenyeka ninavyopeta nawatesa
Wanatetereka wanavyomegeka wanakekereka

(chorus)
Tema mate tuwachape
tuwachape tuwachape wooza
Tema mate tuwachape Wale wajinga mabongolala X2

(bridge)
Wengi madogo
Kaz kusema uongo
Ndivyo walivyo wabongo
Na zao longologno

(verse2)
Wanachuki na wivu
Wanact marafiki fake
Me bahari sipigwi deki
.....(Madee umebadilika) ye sisomeki
Wananuna nuna tu jinsi me navyovuma
Wanabuma buma tu
Kuwa mbao me ntabaki chuma tu
Me sinaga habari zao
Kusema semaga tabia zao
Ntawatusi kwa mama zao

(chorus)
Tema mate tuwachape
tuwachape tuwachape wooza
Tema mate tuwachape Wale wajinga mabongolala X2

Yani leo tukeshe
Yani leo mpaka siku iwe nyingine
Kama vuta nyonga ilimradi tufurahi leo
Kama unaweza gonga mademu wako ndani leo

Kama vuta nyonga ilimradi tufurahi leo
Kama unaweza gonga aaah

 
(chorus)
Tema mate tuwachape
tuwachape tuwachape wooza
Tema mate tuwachape Wale wajinga mabongolala X2


haya haya haya haya haya haya........
wamekata kabla ya corner
(beat plays till fade)........

No comments:

Post a Comment