Unanichora by BenPol ft Joh Makini

Yeah
With best rnb singer
Kumbe wanichora
Ni king Jo
Yeah
(Verse1:Joh Makini)
Siri me na we ni lazima iwe serious
Show ni me na we na sioni ulazima ulete shazi
Soo ni ni me na we na sioni kama uongo ni kazi
Usione kama urafiki ni vyeti upate kazi
Sioni rafiki wa mbuzi eti keti mkune nazi
Urafiki mkia wa mbuzi mfupi na nyeti wazi
Nakushangaa u baniani mhaya
We na baniani mbaya
Waubani vipi haya
Yachumbani yakimwagika hadharani ujue ni haya
Haya wanashika nini washkaji washika mabaya
Yanawika jogoo ajawika alfajiri
Washayaanika kariakoo
Hawakai maneno yamewakalia koo
Kumbe nao wanataka kunikalia oooh
Mpaka kwa nyumbani yangu wakiparty no
Mpaka moshi unavuma juu ndani ni pamoto

(Chorus:Benpol)
Kumbe unanichora unanichora baby
Tena wanisoma kuniona bwege
Kumbe unanichora unanichora baby
Tena wanisoma kuniona bwege

(Bridge)
Mama baba yereeeeee
Mama baba yereeeee

(Verse2:BenPol)
Utulie home nakupa vitamu
Usinitenge nazi kama embe la msimu
Utulie home nakupa vitamu
Na me nikulinde nizidi pata utamu
Najuaa Hawapendi kuona uko na me
Na wanasema mengi mradi uniache mimi
Hasa kwanini mpenzi unakana
Wao Hawapendi kuona uko na me
Na wanasema mengi mradi uniache mimi
Sasa kwanini mpenzi unaongea naoo

(Chorus:Benpol)
Kumbe unanichora unanichora baby
Tena wanisoma kuniona bwege
Kumbe unanichora unanichora baby
Tena wanisoma kuniona bwege
Kumbe unanichora unanichora baby
Tena wanisoma kuniona bwege
Kumbe unanichora unanichora baby
Tena wanisoma kuniona bwege
Kumbe unanichora unanichora baby
Tena wanisoma kuniona bwege

Yere zere yere zere...........till fade

No comments:

Post a Comment