Nisome by Godzila ft Gnako

(intro)
Weka vyombo juu ya meza
(we on it, we on it)
Mtoto mzuri namkonyeza
(nisome, nisome)
Kiuno mama umepewa
(tuone, tuone)
(Show me what you got baby)
(Show me what you got baby)

(VERSE1:Godzilla)
Nahitaji kupoza koo baada ya kufanya kazi
Nacluz kwenye tinted kukwepa paparazi
Ni kukesha macho baada ya kuhustle
Nipo na G G G Gnako
Mara namuhita muhudumu
namuulza kama anaroom
na pia kama ana ndomu
naruhusiwa kuvuta ndumu
Nipo na mrembo ni sumu
kama ni dhambi nihukumu
Tungi baada ya tungi leo nasimamia
humuhumu
Mtoto wa uswazi akinimiss anacall
Hana mbwembwe sijui mara shopping twende
mall
Me na wewe busy hapa tunahook up baby
Ile kigangstar gangstar haina make up baby

(CHORUS:Gnako)
Askari wanauliza uliza
wapi wanapuliza puliza
Harufu inasikika sikika
Tunawaambia counter counter
Tumewaka waka
Haki ya Mungu I don't see nobody
Tumewaka waka Mitungi vishungi
Tumewaka waka Na me sivungi siungi
Tumewaka waka Yesu na Maria sioni mbele

Ongeza vyombo kwenye meza
we on it we on it
Mtoto mzuri namkonyeza nisome nisome
Kama kiuno ulipewa tuone tuone

(VERSE2:Gnako)
Tafadhari fungeni mikanda vipi
Tumetimba kipande Na wana (Vijiti)
zimeni askari wametanda (Titi)
zipo juu viunoni na shanga (Sipy)
Unachotaka natumia kipanga aghaaa
Watu wewe tumechizika kama milembe
Matumizi ka tuliuza sembe
Na hii ndio wanasemaga kama lembe
Usisubiri akwambie ana genye
Maneno mtekenye
Toilenga mapaki ngavenye

(CHORUS:Gnako)
Askari wanauliza uliza
wapi wanapuliza puliza
Harufu inasikika sikika
Tunawaambia counter counter
Tumewaka waka
Haki ya Mungu I don't see nobody
Tumewaka waka
Mitungi vishungi
Tumewaka waka
Na me sivungi siungi
Tumewaka waka
Yesu na Maria sioni mbele

Ongeza vyombo kwenye meza
on it on it
Mtoto mzuri namkonyeza nisome
Kama kiuno ulipewa tuone tuone
Ongeza vyombo kwenye meza
we on it we on it
Mtoto mzuri namkonyeza nisome
Kama kiuno ulipewa tuone tuone

Credit:Kibabra

No comments:

Post a Comment