msiniseme-Ali Kiba



Album: Ali K 4Real
Artists: Alikiba
Language: Swahili
Writer: Ally Salehe Kiba
Year 2009

Hey (yei ye yee 2x soniyee)
Ye (lolo lololo lilele 3x)
Alike (yolo lilele) baby girl
CHORUS
Msinisemee ah 4x
Kama napenda kula
Msinishangae 4x
Kama napenda kula
Msinitengee 4x
Kama napenda kula
VERSE(1)
Basi hivi juzi juzi
Kulikuwa na shuguli
Mtaa wa pili tena si mbali
Kulikuwa na pilau na wali
Basi nami nikajiunga
Pale pale kupiga mvunga
Watu wakajipanga
Nikaanza kwa tonge na nyama
Nina matonge*3
Mpaka wakanifukuza
Nikasema sijali
Nikatoa pesa mfukoni
Nikanunua mayai
Kilichofuata watu hawakai
CHORUS
Msinisemee ah 4x
Kama napenda kula
Msinishangae 4x
Kama napenda kula
Msinitengee 4x
Kama napenda kula
VERSE (2)
Ilikuwa Jumapili
Siku ya watu wenye ufahari
Kujirusha sehemu mbali mbali
Nami nikasema leo sikubali
Wacha niendee*3
Ila pesa sina nataka nikale
Nikapita sokoni
Nikaomba embe sokoni
Nikaelekea baharini
Nikawaona wengi ufukweni
Napita na embe kiutani
Nakula ili watamani
Mate yaliwajaa midomoni
Basi wote wakaanza kuniomba
Msiniombee *3
Si mnasema mimi napenda kula
Msinisemee ah 4x
Kama napenda kula
Msinishangae 4x
Kama napenda kula
Msinitengee 4x
Kama napenda kula
© Alikiba
picha:dartalk.com
lyrics:museke.com
(kevoo)

No comments:

Post a Comment