una- P-unitLanguage:Swahili
Writer: Dennis Kaggia, Gabriel Kangondu, Boniface Chege, Francis Hamisi
Year :2008
Intro
Paukwa
Pakawa
Jomino
But of course (of course)
Wahenga walidedi
Wakaacha watoi
Watoi wao hawangeitwa wahenga
So
Wakaitwa wagenge
P-Unit
DNA
Una
Chorus
Una-jump
Una-nika
Una shida
Zina shuka
Una-jump
Una-nika
Una shida
Zina shuka
Verse 1 (Bon'eye)
Unaruka mkojo
Unkanyaga mavi
Unahepa bike
Unagongwa na basi
Unazima kafegi
Unasetiwa kindom
Unaomba unapewa
Na hauna condom
Unadhani mzuka kumbe
Kichwa iliruka
Unavuta shuka
Wenzako wanrauka
Unaaa hauna
Unahama nchi yako
Ukaishi ulaya
Unahepa mshamba
Unaoa Malaya
Unauza TV
Unanunua trolley
Unadandia lorry
Unadhani ni pedi
Unapata ni fegi
Unalala unono
Unapata ulidedi
Unadhani mababi
Unapata wagenge
Unaona ni bona ala
Kumbe ni chege
(unaaa hauna)
(unaaa hauna)
Verse 2 (Frasha)
Unanijua
Mi ni ule boy huwa nawaua
Unanijua
Manzi yajo mweke mbali nitamrarua
Unanijua
Uliza mambo yangu mi hupatiwa
Unashuta
Unahara
Unajipaka mafuta
Unaparara
Una sahara
Nina msafara
Una kipara
Ngepa ninang'ara
Unasota
Nina mshahara
Unanisanya
Kumbe niko rada
Unajifanya
Kumbe nakumada
Zikishika
Unaruka
Una-jump
Unashuka
Shida zinashuka uh
Frashaa
Chorus
Una-jump
Una-nika
Una shida
Zina shuka
Verse 3 (Gabu)
Unachapa mtoto
Unamwamsha ngware
Anaitisha Ferrari ndio aende Kawangware
Anataka fegi unampa mpaka nare
(unaaa hauna)
(unaaa hauna)
(DNA)
Mi napanga
kupata mkwanja
Unachota kadem
Kumbe nikumada
Unachota supuu
Taxi faster
Unamwona asubuhi
Boss ulihata
Unacheki supuu
Una-buy beer
Unacheki vizuri
Amekuibia
Unafanya upuzi
Kuwa playa hater
Nje roho juu
Ndani unatetemeka
Unafanya exam
Unapata jembe
Unaenda home
Kama kawa sembe
Ulidhani uko ndani
Kumbe uko nje
Ulidhani una ngiri
Kumbe una finje
Unakunywa
Unalewa
Una dame
Anabebwa
Unachunguza
Unacheka
DNA na P-Unit
Walikubebea
Chorus
Una-jump
Una-nika
Una shida
Zina shuka
(Gabu)
Unachapa mtoto
Unamwamsha ngware
Anaitisha Ferrari ndio aende Kawangware
Anataka fegi unampa mpaka nare
(unaaa hauna)
(unaaa hauna)
Unapita
Unaitwa Marangi
Una
© P-Unit
lyrics:museke.com

No comments:

Post a Comment