ni wiki moja tangu uzaliwe katoto kazuri Germana,Auncle wako nakuwish maisha marefu yenye furaha, ukue vzuri kwa afya njema na Mungu akujalie akili na busara....Congratulation to my bro Joseph Mwikombe n ur baby's mama Tula....mkakuze ako kawe katoto swaaafi kabisa..Much love ....yo auncle kevOO
No comments:
Post a Comment