kigeugeu- Jaguar

Dunia nizamishe ama uniweke niishi peke yangu
 kwan ninapomwamini kila binadamu mwishowe ananigeukia)*2
(verse)
Nimtazame nani nimwamini nani nani wananigeukia eeh vigeu geu vigeu geu eeh vigeu geu wananigeukia
Namwamin daktari sana amponye rafiki yangu anamweka kwenye life suport mashine kumbe aliaga ni pesa anakusanya
Mama mzto anamwamini mkunga amzalishie mtoto baada ya miez tisa..mkunga anamgeukia mtoto anamgeuzia
(Chorus)
(Nikiaso juu chini ili nvuke boda wananigeukia)*4
(Nimtazame nani nimwamini nani nani wananigeukia
eeh vgeu geu eeh vgeu geu eeh vgeu geu wananigeukia)*2
(verse)
Mwanasiasa akiniomba kura akiaid yote atatimiza baada ya miaka tano anarud na kitambi bila kutimiza
Nina pastor kwa jirani yangu nilimwamin kufa na kupona nkitoka kwangu naye anaingia kusali na bibi yangu
(Chorus)
(Nikiaso juu chini ili nvuke boda wananigeukia)*4
(Nimtazame nani nimwamini nani nani wananigeukia
eeh vgeu geu eeh vgeu geu eeh vgeu geu wananigeukia)*2
kwan ninapomwamin kila binadamu mwishowe ananigeukia)*2
[Bibi yangu kigeugeu (eeh)
Pastor wangu kigeugeu (eeh)
Mkunga kigeugeu (eeh)
Wanasiasa vigeugeu (eeh)
rafik yangu kigeugeu (eeh)
(Dunia nizamishe ama uniweke niishi peke yangu

No comments:

Post a Comment