wangu lyrics-Lady Jaydee ft mr.Blue

Lady Jaydee, Mr Blu
Swahili
Judith Wambura Daines Mbibo
2011
Chorus:
Nilisha kuaga na wangu Ila akanitenda
Hakuthamini utu wangu Akaniacha akaenda x2
Nikabaki nalia na roho Nikabaki nalia na moyo x2

Verse 1:
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
Na chuki hudhihirika ikiwamo utapeli
Wivu unahusika kwenye mapenzi ya kweli
Na chuki hudhihirika ikiwamo utapeli aaah aaah
Moyo kiza kinene huwezi kujua
Yupi mkweli yupi muongo anaekuzingua
Na moyo giza nene huwezi kujua
Yupi mkweli yupi muongo anaekuzingua aaah

Rudia Chorus:

Verse 2

Yule fedha, huyu mvuto
Vishawishi na tamaa ujana maji ya moto
Huyu mkubwa yule mdogo
Vishawishi na tamaa ujana maji ya moto
Kesha usiku mchana ukiomba dua
Walaghai ni wengi wanataka jubua
Kesha usiku mchana ukiomba dua
Walaghai ni wengi wanataka jubua aaah

Rudia Chorus:

Rap:
Mr.Blue
Nilimpa penzi nikamjali kwa maradhi mavazi Na makazi aah
Kumbe mshenzi hana hadhi bure tu nampandisha ngazi
Nikamuweka wazi kwa paparazi
Nikamleta uswazi kwa wazazi
Kumbe sina demu naishi na jambazi mmh
Naziba huku kule pako wazi no!
Sitaki tena kuumia moyo
Sitaki tena unione poyoyo
Sitaki hilo penzi la kichoyo mi sitaki mifupa mi kibogoyo
Nataka vile vitu laini no money no honey nimebaini wee
Kwanini naumia kila saa wakati penzi lako haliendi bila ya chapaa paa

Rudia Chorus:

source:museke.com
kevoo

No comments:

Post a Comment