nilipe nisepe lyrics - belle9

Artist:Belle9
Writer:Belle9
Time:4:05

Nilipe nisepe
Nilipe nisepe
Nilipe nisepe

Nilipee
Uliniahidi baada ya wiki mbili sasa yapita miezi mitano
Pesa zangu ni zaidi ya laki mbili hujanirudishia hata senti 5
Sitaki kuamini we tapeli ila upo nje ya makubaliano
Kama huna useme me nijue nafanyaje

Unataka tusielewane kizimbani tufikishane

Eti sababu ya money wakati me na wewe na majirani
Unataka tusielewane kizimbani tufikishane
Eti sababu ya money wakati me na wewe na majirani

Nikisema unanikimbia ama

Nini unafikilia jamaa
Baada ya kukusaidia wakati watu wanategemewa
Nikisema unanikimbia ama
Nini unafikilia jamaa
Baada ya kukusaidia wakati watu wanategemewa

We we we ya fasta

We we nilipe
Ukitaka kuwa mbaya dai chako
Umejenga uadui kati yangu me na ndugu zako
Ukitaka kuwa mbaya dai chako
Umejenga uadui kati yangu me na rafiki zako
Wakati unataka msaada tuliandikishiana shahidi mwenyekiti
Hivi sasa ukiniona unanikwepa unasepa ina maana hunilipi
Unataka tusielewane(fasta)
Kizimbani tufikishane(fasta)
Eti sababu ya money(fasta)
Wakati me na we ni majirani
Nikisema unanikimbia ama
Nini unafikilia jamaa
Baada ya kukusaidia wakati watu wanategemewa
Nikisema unanikimbia ama Nini unafikilia jamaa
Nikisema unanikimbia ama Nini unafikilia jamaa

Ubinadamu kazi (kazi)
Bora umfadhili mbuzi (mbuzi) utamla mchuzi binadamu ana mauzi
Ubinadamu kazi wewe
Bora umfadhili mbuzi yeye utamla mchuzi binadamu ana mauzi
Tuseme unanikimbia mama
Simu unanizimia jamaa

Nilipe nisepe fasta
..till fade
No comments:

Post a Comment