AY na MwanaFa wafanya kazi moja na Metro na Devonte kutokea nchini Jamaica

jana kwenye page ya twitter ya mwanamuziki mwanaFa na ya AY ilikuwa ikisomeka hivi

''MwanaFa & AY in the Studio... Recording new joint ft Metro and Devonte''

metro na Devonte ni wanamuziki kutokea nchini Jamaica na moja ya nyimbo zao ni


 1.everyone falls in love
 2.gal say woooeunaweza pata picha za wasanii kwa kubonyeza hii link

tunasubiri iko kitu naamini itakuwa moja ya nyimbo nzuri na bora kwa mwaka 2012

No comments:

Post a Comment