BAGHDADi AMETANGAZA KUJITOA MEXICANA LACAVELA RASMI

Baghdadi


msanii kutoka kundi la Mexicana lacavena ametangaza rasmi kujitoa katika kundi hilo alilolianzisha na kuwa nalo kwa takriban miaka miwili hivi sasa, Baghdad amesema ameachana na kundi hilo ili aweze kusimama yeye kama yeye kwasababu kapata mtu wa kummanage yeye pekee, licha ya hiyo amesema sababu nyingine ni kutokuelewana kwa baadhi ya ratiba wanazozipanga katika kukutana na wenzake

1 comment:

  1. Anonymous09:29:00

    Uyu mchz anazingua angeweza kumenejiwa na mtu kikakazi zake while anaendelea na lacavena ila kama ni ivyo anazogoa uyu dogo mbn tumeona wasanii wengi wapo kwenye makundi na mamenager wengine wa makundi na wakiwa kama solo artist wanakuwa na meneja mwengine ila dogo kalewa sifa anazingua

    ReplyDelete