Kwaresma njema wadauBlog ya Kibabra inawatakia wakristo wote duniani mfungo mwema wa kwaresma…tuwe wema tuishi katika wema…tujifunze kutowakwaza wenzetu kwa kusudi na kujizuia mabaya katika kipindi hiki kitakatifu.

No comments:

Post a Comment