lala salama lyrics by diamond

lala salama..
matatizo chuki lawama..
matatizo chuki lawama..

ukilala lala salama
kumbatia picha yangu
kama ukinikumbuka sana
nipigie simu yangu


uki..ukilala lala salama
kumbatia picha yangu
matatizo chuki lawama
vumilia mpenzi wangu


najua wivu ndo mapenzi
ila chunga usizidi
si unajua kwako sijiwezi
ila dhiki imebidi
mi nili.tamani si mi kuwa nawe
tuwe wote usiku na mchana
kilichofanya mi nipagawe
sina chochote cha kuwalisha wana
niliupokea kwa unyonge.. msiba wa kaka bona
ile barua yako ya mwisho.. ilinitonesha vidonda

usijali, Nilai kipenzi changu, ukazani nimekumbwa.. na pepo la starehe
mambo bado magumu kwangu, afadhali hata ya jana ya kesho niombee

ukilala lala salama
kumbatia picha yangu
kama ukinikumbuka sana
nipigie simu yangu


uki..ukilala lala salama
kumbatia picha yangu
matatizo chuki lawama
vumilia mpenzi wangu

ile kua uone
nilidhani maghorofa
ai, akumbe mwana ukome
hakuna cha kuokota
mi bado, nakaza moyo changu kipenzi
ila naumia kwa kuwa mwenyewe
natamani ila siwezi, nazitafuta ili nije kula na wewe
msalimu mama nyumbani, usiseme kama nahenya
tai, mfiche mpe imani, karibu ntakuwa chema

usijali, Nilai kipenzi changu, ukazani nimekumbwa.. na pepo la starehe
mambo bado magumu kwangu, afadhali hata ya jana ya kesho niombee

ukilala lala salama
kumbatia picha yangu
kama ukinikumbuka sana
nipigie simu yangu


uki..ukilala lala salama
kumbatia picha yangu
matatizo chuki lawama
vumilia mpenzi wangu

2 comments: