chapia by Tash

Eeh kwa jina me naitwaaaaa ...au acha ntawaambia baadaye

meseni tunaanza na chorus
okey ver good

nazingua aah nazungua eeh
nazingua aah nazungua eeh
nazingua aah nazungua eeh
Hao hao hao chapia
Hao hao hao chapia
Hao hao hao chapia
Hao hao hao chapia

kaka niwe tila lila kama mr.blue
kata kiuno bila woga kama madilu
bega moja juu mkono mmoja move
mama nipe kili beat niwashe fegi
nyanya uka kwenye kiti ok bend
doli doli daah sijafulia
doli doli daah (ebu)ebu tulia
piga rungu nyonga nyonga baby
nenda step step ngoja nipandishe mlege
pliiz sogea ebu shusha hiyo kimini
bilinge bilinge mpaka chini

nazingua aah nazungua eeh
nazingua aah nazungua eeh
nazingua aah nazungua eeh
Hao hao hao chapia
Hao hao hao chapia
Hao hao hao chapia
Hao hao hao chapia

bili tataaa utadata hizi shoti uwezi fata
konyagi ndio inafuata nipandishe mzuka
hela gambe gambe inawafanya massag
kunywa ado ado usikose hela ya bajaj
usije ondoka na mguu nje kuna wakabaji
bananisha kwenye kona freestyle tupige mwake
tutapanda tax bila me nakataa
cheza cheza mpaka kigugumizi cha njaa
hapa vanga kila siku kesho ukale dagaa
piga rungu nyonga nyonga baby
nenda step step ngoja nipandishe mlege
pliiz sogea ebu shusha hiyo kimini
bilinge bilinge mpaka chini

nazingua aah nazungua eeh
nazingua aah nazungua eeh
nazingua aah nazungua eeh
Hao hao hao chapia
Hao hao hao chapia
Hao hao hao chapia
Hao hao hao chapia

eeh mule mule
moja mbili tatu
moja mbili tatu

gole gole gole
gole gole gole
gole gole gole
gole gole gole
gole gole gole

bilinge bilinge mpaka chini

nazingua aah nazungua eeh
nazingua aah nazungua eeh
nazingua aah nazungua eeh

yeaah ruka ..acha zako wewe pandisha mlege

fanya yote fanya yote
meseni selecta eeh acha uoga
fanya fanya

eeh endelea kutingisha bambucha

cheza cheza mpaka kihindi
kule kwa sharukh khan
bamutu banyinyi
thank you

tye rafiki we ndo wafanya nitingishe kinoma noma
nipe hiyo karatasi hii kijana imefanya hii nyimbo ndio inaitwa
bash pash hapana tash ipo na ile meseni selecta

No comments:

Post a Comment