Izzo B aanzsha balaa na Roma mkatoliki

mkali wa hip hop kutokea green city Mbeya Izzo Bizness wakati juzi jumapili alimdiss rapper Roma Mkatoliki akiwa jukwaani anaimba.

Ilikua kwenye mida ya saa sita usiku ambapo Izzo alipopafom akiwa bado yuko kwenye stage, alisema yeye yuko juu ya Roma Mkatoliki na hata siku moja hatomfikia.

Baada ya kushuka kwenye stage Izzo aliongea Exclusive na www.millardayo.com na kusema kwamba “Roma ni mdogo sana kwangu na mimi ni MKUBWA kwake, hii imekaa kihiphop kwa sababu kwenye hiphop kuna kupishana kauli kama hivyo”

Nilipomuuliza imekuaje mpaka akaamua kutoa hiyo Diss, Izzo B alikataa kuzungumza chochote, ambapo hata swali la kutaja utofauti wa uwezo wake na Roma katika kuchana na kuandika pia, Izzo hakua tayari kujibu kwa wakati huo.

stay with yo blog for more uptodate

source:millardayo.com

No comments:

Post a Comment