binti kiziwi lyrics by Z anto

mhhhhhhh!
ohhhhh!
lalalalalah!
kwakweli nilikuwa napenda sana, mechi za nje za ujana
aliyekuwa mke wangu, analia aaaah
kwakweli nilikuwa napenda sana vibinti
nakuwahonga mpaka magari
waliyekuwa watoto wangu, wanateseka na njaa
mitungi ni kila saa, nyumbani sina time ya kukaa
marafiki nami, night club na mimi ohhh

sasa nimebaki lonely, track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby hunitaki tena
sasa nimebaki lonely, track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby hunitaki tena

nakupenda, nakupenda sana baby
nakuihitaji mama mama, njoo kisiwa cha malavidavi
nilikutenda, nisamehe ma baby
nakuihitaji mama mama, njoo kisiwa cha malavidavi

Silewi tena niskize ma ah, kwani najua pombe ndo chanzo ah
kilichofanya nikutende, dharau kibao ndani ya nyumba hakuna raha
na kwangu ulikuwa dhaifu niskize ma, kwani najua kweli ulinipenda ah
watoto wangu nliwatenga nisamehe mpenzi, we unasema..
sitaki rudia tena, najuta kwa yote nliyofanya
nisamehe na goti napiga, nalia aaaah

sasa nimebaki lonely, track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby hunitaki tena
sasa nimebaki lonely, track redioni hazichezwi
yaani pesa hakuna, marafiki hakuna
hata baby hunitaki tena

nakupenda, nakupenda sana baby
nakuihitaji mama mama, njoo kisiwa cha malavidavi
nilikutenda, nisamehe ma baby
nakuihitaji mama mama, njoo kisiwa cha malavidavi

uje kwenye kisiwa cha malavidavi
uje tupeane mapenzi
usisahau na wanangu..
sahau yaliyopita.... na tugange yajayo

No comments:

Post a Comment