huyo sio demu by Abdu Kiba

Kwanza ukimtazama, anaenda na mambo uliyoyaskia
Moja mzuri sana, na pili yeye anavutia
Kiumbo, yeye anavutia, kisura inshallah mola kamjalia
ana mwendo wa kimiss, mi napenda anavyotembea
hata kama wakimdiss mimi bado namfukuzia
Daily, kazi yenu nyinyi kumpakazia
Daily, sijui lini nyinyi mtampotezea
Daily, kazi yenu nyinyi kumpakazia
Daily, sijui lini nyinyi mtampotezea


Kakudanganya wa oysterbay wakati anakaa manzese
Halafu we mwenyewe una furaha
Usimwamini, kumpa moyo ye... usije kulia
Usimwamini, kumpa moyo we... utaja niambia

yuko juu kwa njia za panya, ni mengi aliyoyafanya oh we angalia
yuko juu kwa njia za panya, ni mengi aliyoyafanya aii we angalia
ye ni bingwa wa viduku, kwenye vikodoro aisee... hana maana huyu demu
ye ni bingwa wa viduku, kwenye vikodoro aisee... hana maana huyu demu

Huyoo, nasema huyo so demu
Huyoo, nasema huyo so demu
Huyoo, nasema huyo so demu
Huyoo, nasema huyo so demu
aaaaa, nasema huyo so demu
mhhhh, nasema huyo so demu
aaaaa, nasema huyo so demu
uuuuh, nasema huyo so demu

I know, siwezi laumu moyo kumpenda yule
alisema mtoto mdogo na bado ye yuko shule
jamani mi, nampendampenda yeye
jamani mi, namtakataka yeye
jamani mi, nampendampenda yeye
jamani mi, namtakataka yeye

ingawa walisema, bingwa wa viduku
nawengine wakanena, bingwa wa vikodoro
ingawa walisema, bingwa wa viduku
nawengine wakanena, bingwa wa vikodoro


Si lengo langu kukupiku Noo, nasema kweli huyu demu soo
Ujipe moyo, utakoshwa roho yule so demu wa kusizi nae mahome noo
nakupenda sana mchizi wangu ndo maana nakuambiaaa
usije iona hii dunia ni chungu, moyoni utaumia
nakupenda sana mchizi wangu ndo maana nakuambiaaa
usije iona hii dunia ni chungu, moyoni utaumia

Huyoo, nasema huyo so demu
Huyoo, nasema huyo so demu
Huyoo, nasema huyo so demu
Huyoo, nasema huyo so demu
aaaaa, nasema huyo so demu
mhhhh, nasema huyo so demu
aaaaa, nasema huyo so demu
uuuuh, nasema huyo so demu

Huyo huyoo, oooohhhh eeeeiiieeee
Huyo huyoo

Huyo so demu, mi mwenyewe namjua
hajui kukataa wanasema kaumia
hana mapenzi ya kweli anachojali ye shillingi
Kudadadeki mapenzi hayashughuliki
kama kweli unampenda we mpende tu maradufu
ila huku kitaa wanamgonga hata kwa buku
huyo sio demu (huyo huyo), demu wa kitaaa
huyo sio demu (huyo huyo), demu wa masela

aaaaa, nasema huyo so demu
mhhhh, nasema huyo so demu
aaaaa, nasema huyo so demu
uuuuh, nasema huyo so demu

(huyo huyo) [Tafuta mwingine, ila kama unampenda komaaa nae,
ila kubembeleza sio kukuambia ku give up, so tell em bro
Love is a beautiful thing, but sometimes love is crazy man.... haha!]

No comments:

Post a Comment