in the whole world you know,  [haha]
there is a million boys and girls, [yeah]
who are young, gifted and black
Im black... Definitely


shukrani kwa aliye mkuu, leo hii nipo hapa
muziki ni wito, na nimeitwa na aliyeniacha
ili nisiwe mwanasiasa, nyasi anayesumbua
au kwakuwa nakula andazi, basi niache kitumbua
ila, siachi kusumbua macho wazi kwenye pipa
nachapa kazi na kazi inachapika bila failure
bila flavor natapika bila flavor
mwana wa baba nna nyundo kwa sala ya kila savior
peace kwa duke na kaka pachu
kwa kunipa chance mpaka ninawasilisha rap hits
black shirt, hii ni  blackness
kila spit kwa sixteen bars natema classic
sema nami kama huwezi sema nasi
nafasi ni chache kwako kama huwezi sema wazi


sema safi kwa usafi iwe nafsi yako
na kama uko safi basi hii kazi ni kwa ajili yako


niko S.P.E.C.I.A.L
HipHop ina ni ID well
Niko special, mama alinimbia nitajaipata
na kama nisipoipata ntatoka kwenda kuifuata


niko S.P.E.C.I.A.L
HipHop ina ni ID well
Niko special, mama alisema nitajaipata
na kama nisipoipata ntatoka kwenda kuifuata


maswali mengi juu ya ujuzi nilioshushiwa, 
habari ni kuwa hawapendi kila utunzi uliobuniwa
sijali kuchukiwa na wachache nnaowajua
nikifulia ikikauka basi uwahi kuanua jua
huwai kuchanua, skawii kuwa ang'avu
maisha tambara bovu, sikamui likiwa kavu
niko sure haunijui, ukinijua sina wazo
haijalishi ka haiuzi mi nafurahi kuwa hardcore
HipHop nafurahi kuwa wako
hata usiponipa mtoto nitafurahi kuwa anco
zote banger bila swagger kwenye u'black flow
pande zote nitakwenda ukikubali kuwa hapo
sina mkali kwako labda niwe mkali wako
na habari ni kwamba hii mistari ni kwa ajili yako


sema safi kwa usafi iwe nafsi yako
na kama kweli uko safi hii kazi ni kwa ajili yako


niko S.P.E.C.I.A.L
HipHop ina ni ID well
Niko special, mama aliniambia nitajaipata
na kama nisipoipata ntatoka kwenda kuifuata


niko S.P.E.C.I.A.L
HipHop ina ni ID well
Niko special, mama alisema nitajaipata
na kama nisipoipata ntatoka kwenda kuifuata

No comments:

Post a Comment