kamiligado lyrics by Prof Jay

Mtoto yuko kamili gado
Prof Jizzy Jizzy! Chali Chali!
Prof Jizzy Jizzy! Chali Chali!
Chali!, Chali

Nakucheki cheki kila kona, maana mpaka pwani kote sijakuona
moyo wangu unauma mie, japo nikuone mi nitapona
nimekwenda hospitali, mbalimbali wanadai dawa yangu ni wewe
we ndo wangu daktari, sitapona sitaishi tafadhali nielewe
bado napenda kuishi, bado nataka kuishi nionee huruma mwenzio
hey, nipigwe hata kwa kiss naishi kitatanishi mpaka useme ndio
hey, unavyokatikakatika, zungushazungusha juu mpaka chini mi ninabaki hoi,
hoi unavyotingishatisha binukabinuka back and forth, mi ninabaki hoi

ma, unang'aa kistaa, kukuona ni adimu kama nyota ya jah
ah, unasifika kila kona mtaa, njoo kwangu unitibu ili nipone kachaa
na, naahidi kukupenda cause nakupenda
haya mawazo kuwa nitakutenda sitatenda
twende wote popote unapokwenda
nakiri mimi mateka na kwako nime'surrender

mtoto yuko kamili gado, kamili gado oh
mtoto yuko kamili gado, kamili gado oh
mtoto yuko kamili gado, kamili kamili
kamili kamili kamili gado
mtoto yuko kamili gado, kamili kamili
kamili kamili kamili gado

watu wegi wanishangaa, kwanini kila siku mi' sina raha
afadhali ushinde njaa, kuliko maisha yako yakose furaha
wanasema nimechiz, wanasema nimenok
wanasemasema usiku watalala
njoo karibu nami tuwatoe nishai, wanoknok tuwatoe kafara
furaha yangu ni wewe, maisha yangu ni wewe, fikra zangu ni wewe tu
ndoto yangu ni wewe, maisha yangu hayana thamani bila wewe tu
natamani siku moja uwe nami, kwa furaha na maisha yote
ili tuende nikutambulishe nyumbani, kwakuwa una sifa zote
nikubali uwe wangu mwandani, siku zote na maisha yote
mapenzi yetu yachome wapinzani, daima na milele yoteanh, you're the one and only, sina nia ya kuzingua niamini shortie
usishangae wakinyoosha vidole, wanadhani uko single wabadili story
we ndio wangu wife material, uzuri na tabia zinafuta changu kilio
ado ado mambo bado, wape kisago mtoto uko kamili gado
anh

mtoto yuko kamili gado, kamili gado oh
mtoto yuko kamili gado, kamili gado oh
mtoto yuko kamili gado, kamili kamili
kamili kamili kamili gado
mtoto yuko kamili gado, kamili kamili
kamili kamili kamili gado


Usi-niache mi, hey usi-niache mi ah
Usi-niache mi, hey usi-niache mi
Ukiniacha peke yangu na mawazo nakonda
Usi-niache mi
Ukiniacha peke yangu na mawazo nakonda

mtoto yuko kamili gado, kamili gado oh
mtoto yuko kamili gado, kamili gado oh
mtoto yuko kamili gado, kamili kamili
kamili kamili kamili gado
mtoto yuko kamili gado, kamili kamili
kamili kamili kamili gado

Nakupenda wewe, ninakupenda wewe
Nakupenda wewe, ninakupenda wewe
Nakupenda wewe, ninakupenda wewe
Nakupenda wewe, ninakupenda wewe

kamili kamili, kamili kamili kamili gado
kamili kamili, kamili kamili kamili gado
kamili kamili, kamili kamili kamili gado

No comments:

Post a Comment