hawalali lyrics by Dullayo

Ooh ohh

Waleo wamekuaje mapenzi hayana muelekeo
Waleo wamepoteza dira kwa mapenzi ya kwenye video
Waleo wanaweza wakafanya ukaumia moyoni
Waleo siku hizi hawalali
ooh siku hizi hawalali
ooh siku hizi hawalali
ooh siku hizi hawalali
ooh siku hizi hawalali

Kila kitu kinakwenda kwa mipango mipango ambayo umejipangia mwenyewe
Kila kitu kinakwenda kwa malengo malengo ambayo umejipangia mwenyewe
Chezea mabinti wa mjini wewe utaumia mwenyewe
Chezea mabinti wa mjini wewe itakucost mwenyewe
Siku hizi wenyewe hawalali hawalali wanatafuta salary ooh
Na kama unajua unakitu mwenzangu na mie utapelekwa mbioooo
Chezea mabinti wa mjini wewe utaumia mwenyewe
Chezea mabinti wa mjini wewe itakucost mwenyewe
Hapendwi mtu inapendwa pochi mapenzi yao ni photocopy
Hapendwi mtu inapendwa pochi  aah Waleoo

Waleo wamekuaje mapenzi hayana muelekeo
Waleo wamepoteza dira kwa mapenzi ya kwenye video
Waleo wanaweza wakafanya ukaumia moyoni
Waleo siku hizi hawalali
ooh siku hizi hawalali
ooh siku hizi hawalali
ooh siku hizi hawalali
ooh siku hizi hawalali

siku hizi demu akawa kibega na bwana wawili watatu mpaka wanne
haijalishi siku ya kutoka jumapili jumatatu mpaka jumanne
pia haijalishi umri wake anasoma au hasomii
ety mdogo yeyee utalia mwenyewe
anatoka na vigogo utaumia mwenyewe
wa kwanza wa kumchuna
wa pili anavitafuna
watatu anamkuna
utalia mwenyewe

Chezea mabinti wa mjini wewe utaumia mwenyewe
Chezea mabinti wa mjini wewe itakucost mwenyewe
Siku hizi wenyewe hawalali hawalali wanatafuta salary ooh
Na kama unajua unakitu mwenzangu na mie utapelekwa mbioooo
Chezea mabinti wa mjini wewe utaumia mwenyewe
Chezea mabinti wa mjini wewe itakucost mwenyewe
Hapendwi mtu inapendwa pochi mapenzi yao ni photocopy
Hapendwi mtu inapendwa pochi  aah Waleoo
Waleo wamekuaje mapenzi hayana muelekeo
Waleo wamepoteza dira kwa mapenzi ya kwenye video
Waleo wanaweza wakafanya ukaumia moyoni
Waleo siku hizi hawalali
ooh siku hizi hawalali
ooh siku hizi hawalali
ooh siku hizi hawalali
ooh siku hizi hawalali

No comments:

Post a Comment