hello lyrics by Prof J ft Dully Sykes

hello
nasema hello, hello
wale wanaocheza nami, ruka juu kama yero kwa mdundo huu, say helllo
kama ngurumo za tsunami hata kama huna jero, basi njoo karibu nami

hey yoh talk is cheap, mdundo kwa spika
kwetu inaeleweka dawa ya deni kulipa ah
ni new flavor mpaka utamu unamwagika
na leo mambo yanajipa hata kwa beat ya mapipa ah
tushatoboa hii ni international level inakuboa
nakutoa kwenye kambi ya devil
mwenye kisu kikali daima hula nyama
mwenye pesa zaidi daima ndio huonekana
shake baby shake baby wala usijiulize
ni handsome wa ma handsome na Prof. Jizzy
ninauvua shoka mpini unabakia
amani kwa wanaotoka unatoka huyu anaingia
nichumu nikuchumu haina usharo wala ugumu
nipe nikupe nipe nikupe bila kero
juu kwa juu ruka kama masai yero
chini kwa chini komaa kama taxi vero

hello, hello
wale wanaocheza nami, ruka juu kama yero kwa mdundo huu, say helllo
kama ngurumo za tsunami hata kama huna jero, basi njoo karibu nami
wale wanaocheza nami, ruka juu kama yero kwa mdundo huu, say helllo
kama ngurumo za tsunami hata kama huna jero, basi njoo karibu nami

michakato ipo sawa watu wote wanapagawa
nipo macho 24hours kama Jack Bauer
watu wapo high utadhani wana mabawa
unapotaka kubanana banana kisawasawa
ruksa kukata kama una kiuno chepesi
nini marathon bata hata zengwe haina kesi
lord of mercy give me power give me strength
we live toghether but we die separate
usiende macho juu we jichanganye udate
gusa unase, hustle upate ndo maana yake
mikono juu tunese kama tiara
and shake what your momma gave you kama ciara

hello, hello
wale wanaocheza nami, ruka juu kama yero kwa mdundo huu, say helllo
kama ngurumo za tsunami hata kama huna jero, basi njoo karibu nami
wale wanaocheza nami, ruka juu kama yero kwa mdundo huu, say helllo
kama ngurumo za tsunami hata kama huna jero, basi njoo karibu nami

huwa siongei sana mara nyingi nipo counter
ninaposimama mimi nyangema wote wanafyata
jipe raha mpaka nafsi inatakata
na mikito na midundo ya ukweli thats what im after
usinibip kama kipo kipo washa
ninapo'keep peace nipo deep kama rasta
side to side now back your force
NASA we put them hands in the air
here we go

hello, hello
wale wanaocheza nami, ruka juu kama yero kwa mdundo huu, say helllo
kama ngurumo za tsunami hata kama huna jero, basi njoo karibu nami
wale wanaocheza nami, ruka juu kama yero kwa mdundo huu, say helllo
kama ngurumo za tsunami hata kama huna jero, basi njoo karibu nami

No comments:

Post a Comment