upepo lyrics by Rechoupepo wangu wakupuliza wewe, mwenye joto kali
usijaribu kuvaa sweta, utaongeza ukali
nachotaka mimi ni kuwa na wewe, naomba unielewe
uhh baby

upepo wangu wakupuliza wewe, mwenye joto kali
usijaribu kuvaa sweta, utaongeza ukali
nachotaka ni mimi kuwa na wewe, naomba unielewe
uhh baby

Moyo unaniuma mpaka nasema, mpaka najihisi sio mzima
nafsi inaniuma siishi kwa wema, mpaka najihisi sio mzima
Unaniumiza, unaniliza
Unaniumiza, mpaka najihisi kwamba sio mzima

mbona umen'goa ng'oa ng'oa , (soli, soli ya kiatu)

Ona umekimbia, umejichoma, (aah umejichoma)

Ona kwa aibu, umejichoma, (aah umejichoma)

ai yeah yeah yeah yeah

umeniachia vidonda moyoni, vitapona lini
niwe tabibu mwenye tiba yakini, kwa yangu afueni
nnachotaka mimi ni kuwa na wewe, naomba unielewe
uhh baby

umeniachia vidonda moyoni, vitapona lini
niwe tabibu mwenye tiba yakini, kwa yangu afueni
nnachotaka mimi ni kuwa na wewe, naomba unielewe yeah
uhh baby

Moyo unaniuma mpaka nasema, mpaka najihisi sio mzima
nafsi inaniuma siishi kwa wema, mpaka najihisi sio mzima
Unaniumiza, unaniliza
Unaniumiza, mpaka najihisi kwamba sio mzima

mbona umen'goa ng'oa ng'oa , (soli, soli ya kiatu)
mbona umen'goa ng'oa ng'oa , (soli, soli ya kiatu)
Ona umekimbia, umejichoma, (aah umejichoma)
Ona umekimbia, umejichoma, (aah umejichoma)
Ona kwa aibu, umejichoma, (aah umejichoma)
Ona umekimbia, umejichoma, (aah umejichoma)

No comments:

Post a Comment