ni amini lyrics by Ditto


Intro…
ahhh!! aiyaaaaaaaaa
ahhh!! aiyaaaaaaaaa
ahhh!! aiyaaaaaaaa
haaaaaa aaaaa x 2

Verse 1
Uhitaji elimu kubwa Kutambua
Mapenzi Yamekuangukia
Na Hakuna atayainua
Kuyatoa Viganjani Mwako Ohhhhhh
mhhhh ohhhh ouhoooo ohooo
Upaswi Kuhofia Peke Yako Unanijua
Hakika Nalinda Usihofu Utochukuliwa
Nasali Kila Siku Ipitayo
Tufani tuepukane Nayoooooo
ohhhhhhhooooooooooooo

Chorus
Niamini Nataka Uwe Na Mimi
Watu Wenye Fitina Wanaleta Majungu Uachane Na Mimi
Hivi Kwa Nini Utaki Kuwa Na Mimi
Nyoyo Ziwe Pamija Mpaka Siku Ya Mwisho
uanze Wewe Au Mimi X2

Verse 2
Ohooo ohooo ouohooooooo
Yapo Mazuri Yangu
Yapo Mabaya Pia
Lakini Mazuri Na Mabaya Yakiungana Yanamaanisha
Kuna Binadamu Kwenye Dunia
Bileke Bigende Mwaaaaaaaa!!
Duniani Kwa Kupatia
Duniani Pa Kukoseaaa
Muhimu Kusamehana
Na Maisha Yaendelea
Duniani Kwa Kupatia
Duniani Pa Kukoseaaa
Muhimu Kusamehana
Na Maisha Yaendeleaaaaaaaaaaa

Chorus
Niamini Nataka Uwe Na Mimi
Watu Wenye Fitina Wanaleta Majungu Uachane Na Mimi
Hivi Kwa Nini Utaki Kuwa Na Mimi
Nyoyo Ziwe Pamija Mpaka Siku Ya Mwisho
uanze Wewe Au Mimi X2

No comments:

Post a Comment