Aifola by Linex

Wanteyi inkumbu 
wanteye amalila
Wanteyi inkumbu 
wanteye amalila 
Yeah yeah yeah yeah

Ni kama niliruka majivu na kukanyaga moto

Matusi na kunifedhehesha ikawa malipo ya pendo langu kwako
Mbele za watu nikapiga goti nikaweka pete ya uchumba kwenye kidole chako
Kumbe ulikua chupa ukang'aa
kwenye jua kali
Nikadhani almasi nikakupenda kwa kasi

Baby i don't wanna waste my time
Change how you feel
If you don't want me some will
 
katajilanyinya katajilanyinya
Uwansize nkakazebha muchali 
katagira nyina katagira nyina

Aifola aifola

Kumbe hata jina lake nilidanganywa
Nikajiona me ndio ninapendwa na siwezi achwa
Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe ye mwenyewe
Mwanaume mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe ye mwenyewe

Kwa kuziamini hisia zangu
Nikakukabidhi moyo wangu aifola
Kwa kudhania siku moja me nawe tutafunga ndoa aifola
Nitakutafuta hili nilipe japo theluthi ya wema wako
Jicho lako la wema
Kwangu limekuwa pending
Moyoni mwangu
Siwezi kukuvua wema na kukulipa mabaya kwa kosa moja
Siwezi kukuvua wema na kukulipa mabaya kwa kosa moja
Yale maumivu uliyonipa
Nimeshayasahau

Kumbe hata jina lake nilidanganywa
Nikajiona me ndio ninapendwa na siwezi achwa
Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake ye mwenyewe ye mwenyewe
Mwanaume mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyewe ye mwenyewe

Baby i don't wanna waste my time
Change how you feel
If you don't want me some will

Sunday mjela na fundi samwenga

Sauti za Africa
The VOA

No comments:

Post a Comment