mbulula by Juru

(chorus)
Mbululu mbululu mbulula
eti sharobaro men kumbe mbulula*2
Mbululu mbululu mbulula*2
eyo nichek facebook kumbe mbulula
eyo nichek bbm kumbe mbulula

(verse1)
Acheki mwendo  wake jinsi anavyotembea
suruali kaishusha utadhani kajinyea
yupo busy mitihani imekaribia
kumbe shule hajaenda hata chekechea
kila siku kitaa na macd
wakati hawezi kuwasha hata tv
ooh sharobaro men kumbe ni mbulula
story zake pizza na hajawai hata kula
shot modo chini viatu  vya china
chek bbm sasa muulze jina
mbaruku bakari rashid mbembe
facebook kaandika jmbembe
vatu vatu kumbe hajui hata kusoma
kuandika jina lake tu ni nouma
msemeshe chacha mwenyewe utakoma
harifu ni gani ''ooh mama''
mbona huonekani  ''nilikuwa kwa Obama''
ebu toka hapa acha kuzingua
 kwanza pita zako ucnbanie pua
we mbulula genge tunakujua
tumecheza wote utoto mpaka umekuwa
''kwani we hujui'' kwan we hujajua
aaah ''eti unanichafua'' men mbulula

(chorus)
Mbululu mbululu mbulula *2
eti sharobaro men kumbe mbulula*2
Mbululu mbululu mbulula*2
eyo nchek facebook kumbe mbulula
eyo nchek bbm kumbe mbulula

(verse2)
toka a city city mpaka dar city city
moko moko mgongon twende m city city
mbele ya macho katoto kakatokea
kanaitwa recho halafu kamejitupia
kama unavyojua zombi aishiwi damu
nkamkonyesha yeye akatabasamu
kabla ya salamu eti unanfahamu
me ndo mamu nchek kwenye bbm  
oky nkampa iphone aandke namba
mara mkononi anatoka jasho jembamba
kumbe ni mbulula haijui iphone
ey boy sorry kwani hii nini
oky very good we ni mbulula
nmekusoma toka a ct ct mpaka dar city city
moko moko mgongon mpaka m city city

(chorus)

Mbululu mbululu mbulula *2
eti sharobaro men kumbe mbulula*2
Mbululu mbululu mbulula*2
eyo nchek facebook kumbe mbulula
eyo nchek bbm kumbe mbulula

No comments:

Post a Comment