maneno maneno by Ben Pol

kila siku n'napoamka, ninapoianza siku mpya
namshukuru Mola kwa kunilinda, nafasi nyingine nikapewa
labda nikijutuma na mi, iko siku wataniletea
nami niwe na vyangu, niepuke ya walimwengu

kukicha ni maneno maneno, wenzangu humuishi kusema
nami sijali yenu maneno, mwanadamu amezaliwa anasema

eh eh oh

kukosa kitu leo sio tatizo, nikitafuta nitapata kesho
na mimi mommy ataniletea, pamoja na magumu ninayopitia
kukosa kitu kwangu sio tatizo, nikitafuta nitapata kesho

hey
hawajui kuhisi kwao upendo, amani na furaha siku zote
maisha yetu ni uadui tu, hawajui dunia tunaipita tu
na kwenye maisha kuna kuanguka, ila mi sitachoka nitainuka
mpaka siku itakapofika, ndoto zangu zote kukamilika

mhh

kukicha ni maneno maneno, wenzangu humuishi kusema
nami sijali yenu maneno, mwanadamu amezaliwa anasema
kukicha ni maneno maneno, wenzangu humuishi kusema
nami sijali yenu maneno, mwanadamu amezaliwa anasema
hey hey oh

kukosa kitu leo sio tatizo, nikitafuta nitapata kesho
na mimi mommy ataniletea, pamoja na magumu ninayapitia
kukosa kitu kwangu sio tatizo, nikitafuta nitapata kesho
na mimi mommy ataniletea, pamoja na magumu ninayapitia

kukosa kitu leo sio tatizo, nikitafuta nitapata kesho

na mimi mommy ataniletea, pamoja na magumu ninayapitia
kukosa kitu kwangu sio tatizo, nikitafuta nitapata kesho
na mimi mommy ataniletea, pamoja na magumu ninayapitia

kukosa kitu leo sio tatizo, nikitafuta nitapata kesho

na mimi mommy ataniletea, pamoja na magumu ninayapitia
kukosa kitu kwangu sio tatizo, nikitafuta nitapata kesho
na naamini mola ataniletea, pamoja na magumu ninayapitia

No comments:

Post a Comment