kesho by Diamond

(chorus)
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama

(verse1)
Kwanza kabisa nitanyonga tai t’shirt na jeans nitatupa kidogoo
Niite nassib usiniite dai asije kukuona muhuni akapandisha mbogo
Na ukifika uagize chai savannah tequila uzipe kisogo
Kuhusu mavazi kimini haifai tupia pendeze  ladha yake inoge
Even thou wanaponda eti we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
Even thou wanaponda we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke

(chorus)
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama

(verse2)
na usilete swagger za nai nai
ukanyoa kiduku kama moze liogo
eti shopping twende thai
wakati dada angu ana duka kigogo
ukikuta nguna usikatae
we zuga unapenda hatakama wa  muhogo
kuhusu kabila wala silagai
Mama angu hana noma hatakama mgogo
Even thou wanaponda eti we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke
Even thou wanaponda we ni kicheche
waambie ndo chaguo langu sasa wanicheke

(chorus)
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama

(bridge)
mama yangu  mama
mama nassib mama
mama diamond mama
mama yangu nyumbani
mama chali mama
mama sepetu mama
mama kidoti mama
na mama diamond nyumbani

(piano plays...)

(chorus)
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama
me nataka kesho twende nikupeleke nyumbani
me nataka kesho twende ukamuone mama

(piano plays......)

No comments:

Post a Comment