nafurahije by Gosby

Intro
This is chakwachakwa music my broda
Majungu huh!!
I no go chiloo they go chop oh

(Verse 1)
Baby nikiwa nawe moyoni furaha tele
Hawapendi niwe nawe ndio maana hawaishi kelele
Eh wanasema maneno mengi unaona ona
Wanatuma na message baby we unaona ona
Eh wanasema maneno mengi unaona ona
Wanatuma na message baby we unaona ona eh

(Chorus)
Nafurahije nafurahije nafurahije eeeh nafurahije eeeeh
Mi kuwa na wee mi kuwa na wee mi kuwa na wee eee mi kuwa na wee eee

(Bridge)
Iyeee iyeee iyeeee eeeeehh
Yeahh iyeeee iyeeee eeeeh

(Verse 2)
Wanapenda kuona tunagombana
Hawapendi kuona si tunapendana
Ona mpaka sasa tunafanana
Tuko pamoja mpaka tunaoana
Mabusu mbele kwa sana
Mapenzi wawili hakuna kubanana zoro
Hah wamebaki doro tuko hivi mpaka tomorrow
Wakizingua Dar tunakwenda Moro mapenzi yanang’aa sio giza totoro
Hah hakuna kasoro nonono no mgogoro
Wanasema maneno mengi unaona ona
Wanatuma na message baby we unaona ona eh

(Chorus)
Nafurahije nafurahije nafurahije eeeh nafurahije eeeeh
Mi kuwa na wee mi kuwa na wee mi kuwa na wee eee mi kuwa na wee eee

(Bridge 2)
Kama yupo anayekupendaa basi mzuie basi mzuie eh
Nenda popote anapokwenda we nenda na yeye
Waha hiha

(Chorus)
Nafurahije nafurahije nafurahije eeeh nafurahije eeeeh
Mi kuwa na wee mi kuwa na wee mi kuwa na wee eee mi kuwa na wee eee

(Bridge 3)
Watu pipo pipo pipo watu pipo pipo
Watu pipo pipo pipo watu pipo pipo
Wanasema maneno mengi unaona ona
Wanatuma na message baby we unaona ona eh
Wanatuma na message baby we unaona ona eh
Kama yupo anayekupendaa basi mzuie basi mzuie eh
Nenda popote anapokwenda we nenda na yeye
(piano plays.......)

No comments:

Post a Comment