mama yeyo by G-nako ft Ben Pol(chorus:Ben pol)
Iwe milele mama yoyo  yoyo iwe milele mama yoo
She rock my world you rock ma you rock my world
Your colour is like coco coco coco
coco bata girl
She rock my wooorld dunia yangu ooh

(verse1:G-nako)
Muda unaruhusu tupete
ang’ang’anii pete
Hana hizo pepe
namjaza mabusu si mateke
mrembo teketeke
Hatuandikii mate
tuliza mwanangu ujue ni mseke
Kanipeleka higher napaa bila ndete
Napaa bila kete
Mtaani habari tete
Nipo mbali na vcheche vcheche havmpendi
Mpaka mtoto wa kihuni nicheche
Chec he ruka unavyoweza
Geuka nguva au pweza
Nipo gereza la mahaba
Ni dhati unanikumbusha michezo ya kibaba baba mama
Your colour is like coco ni drama unanichanganya mnako
Ooh my God

(chorus:Ben pol)
Iwe milele mama yoyo  yoyo iwe milele mama yoo
She rock my world you rock ma you rock my world
Your colour is like coco coco coco
coco bata girl
She rock my wooorld dunia yangu ooh


(verse2:G-nako) 
Kabinti na hela zangu
Kabinti na hela zangu
Kabinti na hela zangu
Kabinti na hela zangu
Kumzungumzia yeye ni kutengeneza heat
Iende mtaani irudi kwangu mimi nileteeni hela zangu
Kama kumuimbia demu wangu ni dhambi nipelekeni motoni
Katenga sufuria ananipikia chakula cha jioni
Baada ya hapo ni tendo litakalompeleka mtoto peponi
Chuki usiku mwema mpo ndotoni
Kama kumuimbia demu ni dhambi
Wacheni nichomwe mimi mimi against the world
Genge gentlemen
you rock my world girl
What neno
Maneno kuntu juu ya instrumental
Ni vizuri najisikia kuona unajisikia vizuri
Ingawa me si bosi kama mick mill
Hainishindi kulipia meal
Mbinu ya utajiri ni ubahili
Natumia kutia akili
Wambea siwaoni na sizifuati dalili
Maana halisi ya pair nikki wa pili

(chorus:Ben pol)
Iwe milele mama yoyo  yoyo iwe milele mama yoo
She rock my world you rock ma you rock my world
Your colour is like coco coco coco
coco bata girl
She rock my wooorld dunia yangu ooh


(verse3:Gnako) 
Kabinti na hela zangu
Kabinti na hela zangu
Kabinti na hela zangu
Kabinti na hela zangu
Kumzungumzia yeye ni kutengeneza heat
Iende mtaani irudi kwangu mimi nileteeni hela zangu
Hamna mwanamke bila mwanaume mwanume bila ya mwanamke
Hata uwe kama nduli iddi amini dada
Umenibadilisha jina ati mr lover lover (shaba)
Ananiweka kwenye wanks bunner kilele cha raha
Una big mwanya

(chorus:Ben pol)
Iwe milele mama yoyo  yoyo iwe milele mama yoo
She rock my world you rock ma you rock my world
Your colour is like coco coco coco
coco bata girl
She rock my wooorld dunia yangu ooh


No comments:

Post a Comment