promise by ShaaSong:Promise
Vocals by:Shaa
Author:Barnaba
Producer:Maneck

(verse1)
Nimepewa moyo wa kupatana na wewe
Nimepewa huruma najikuta na share na wengi
Ulikosea nikakusamehe ukarudia vilevile
Oh oh oh Ukarudia vilevile
Ukanipa jina mama huruma
Baada ya kusonga mbele narudi nyuma

(chorus)
Naah wala sikushangai nimejifunza na we ndio mfano hai
Kilichoniumiza ni promise za uongo
Naah kumbe ulinilaghai na kunifanya niamini na kufurahi
Kumbe ni maneno tu
promise za uongo 

(verse2)
Kosa gani nililofanya mpaka ugomvi unalazimisha
Kila siku usiku na mchana uishi kusema
Nieleze unataka niweje niwe na kitu gani
Au nini kwako nifanye niwe na thamaniiiii uuuuh
Nieleze nini nifanye

(chorus)
Naah wala sikushangai nimejifunza na we ndio mfano hai
Kilichoniumiza ni promise za uongo
Naah kumbe ulinilaghai na kunifanya niamini na kufurahi
Kumbe ni maneno tu
promise za uongo 

(verse3)
Mwenzako nimepewa moyo wa kuridhika na wewe
Kwahiyo naomba nielewe nitaenda utakavyo wewe
Ukinipiga it's okey
Ukinitukana vilevile
Nakusamehe nitakusamehe nishakusamehe
Nitavumilia naamini yatapita
Nitakuombea mola uweze jirekebisha

(chorus)
Naah wala sikushangai nimejifunza na we ndio mfano hai
Kilichoniumiza ni promise za uongo
Naah kumbe ulinilaghai na kunifanya niamini na kufurahi
Kumbe ni we ndio promise za uongo
Naah wala sikushangai nimejifunza na we ndio mfano hai
Kilichoniumiza ni promise za uongo
Naah nimekosa amani amani imetoweka nyumbani
Kilichoniumiza ni Promise za uongo
Promise za uongo promise
Promise za uongo promise
Promise promise
Ahadi (promise) za uongo
Ahadi
Ahadi
Promise
Promise………. repeat till fadeNo comments:

Post a Comment