Nigande by Doctor fazi ft Amychiba

 INTRO
(dr fazi)
G2G RECORDS Very new Very cool
Heeeeh x2
aaaaaaah x2 nikiwa nawe napata raha x 2

CHORUS
Kwenye shida na raha (kwenye shida na raha)
Nivumilie usiniache (usini/ usiniacheeee)
Nigaaande nikugande/nipende nikupende x2 Baby

Verse 1 (Dr Fazi)
Mambo vipi Super Baby? (poa) Niliondoka nimerudi,
kutimiza ahadi nilizokuahidi, hutajanidai daiiii
Penzi letu la ukweli wala si kifisadi,
safari ya mbali ili7bishwa nawewe, nihekima zako,
zilizonifanya niende niwewe ,
uliyebadili mwenendo wangu na tabia,
ile mizinga ya mara kwa mara ilinikosesha rahaaaa,
nilijituma saana kikazi ili nikupe pesa,
kwa hizo pesa ulivinunua hadi vyombo vya geto,
ulining'arisha na pamba mtaani nikapata ujiko,
kila mtu hilo ndio jiko (oaaaaaa)
kule hilo ndio jiko oaaaaaa
masela hilo ndio jiko oaaaaa
nyumbani hilo ndio jiko oaaaaaaaa x 2

Verse 2
(Amychiba)
Kwanini una nipenda hivi unapenda hivi Baby ??

 (Doctor Fazi)
Unanifurahiaaaaa (Hata bila cash cash)
Tulia na mimi Dear ( Tutaishi fresh fresh)
Posa ya kukuoaaa (Kwenu walipa yes yes)

Rap
Usimu ige huyu huyo yule, Usiwaiiige wale,
usiwaige wa wapenda Ankara papara ya Hera,
Tamaa ya hera huisha kwa hasara,
tulia namimi mama,
kwenye maisha ya juu na chini Mama x 2
ukamilifu hatuna wengi ungekuwepo ningehonga,
wivu ni kidonga hasa ukipeeenda,
udaku wa magazeti usifanye ukanitenga,
ukaniacha solemba, egamia kifuani
pangu nikupe furaha na nikufute machungu,
wewe ndio Mama wa wanangu
njoo tushee furaha na karaha,
njoo tugeuze shi shida kuwa raha,
uwe Baba niwe Mama Bibi niwe BABU ;
Kwa raha na tabu,

Bridge,
Nikiwa nawe napata rahaaa x 2

Yumba (yumba kibabe babe,
Yumba (Kibabe babe)
Tikisa mwili kizube zube
Tikisa Kizube Zube,
Kizube zubeeee

Chorus
Kwenye shida na raha (kwenye shida na raha)
Nivumilie usiniache (usini/ usiniacheeee)
Nigaaande nikugande/nipende nikupende x2 Baby

OUTRO
Inna di combination E Records, Kingson, na
Producer Ahaz, Doctor Fazi, Amychiba, G2G Records
Very new very cool noma noma

brought by Doctor fazi

No comments:

Post a Comment