mama kimbo by Hemed (PHD) ft Mabeste

(verse1:Hemed)
Nishakuambia kwamba uko peke yako we
Tatizo hutaki funga hilo domo lako we
unaleta dharau ukishaona shoga zako mhh, hey aaah
unanichezea kunifanya babu yako

kwanini nikose raha, nilikupenda sana
kwanini nikose raha, nilikupenda sana

we unamabwana, unapaenda gombana
unapenda minyana, unapenda lumbanaa
we unamabwana, unapenda gombana
unapenda minyana, unapenda lumbanaa

mama kimbo we, usinichoshe we
mama kimbo we, usinichoshe we
hey ah, hey ah, usinichoshe we
hey ah, hey ah, usinichoshe we

(Verse2:Hemed)
Nishakuambia ninachotaka ni mapenzi we
majibu ya yote ni vituko na ushenzi we
nishakufuma ghetto umelala na mchizi
hey ah, nikakutimua bila kukupiga makonzi

kwanini nikose raha, nilikupenda sana
kwanini nikose raha, nilikupenda sana

we unamabwana, unapaenda gombana
unapenda minyana, unapenda lumbanaa
we unamabwana, unapenda gombana
unapenda minyana, unapenda lumbanaa

mama kimbo we, usinichoshe we
mama kimbo we, usinichoshe we
hey ah, hey ah, usinichoshe we
hey ah, hey ah, usinichoshe we


(MABESTE)
aah
yeah mi sio bwege mi sio mario
mi niko mbele nyuma weka makalio
hapa mapenzi mama nionyeshe ganji no
ah mambo ya java hayaoni ya sauti so..
za kibisho sina mapenzi ya kidali po
mi naomba po, kauzibe ni yangu imesha goo
mama kujuana unavuta sheesha
noma hujatulia sasa nimeipata picha
kata viuno kwa majamaa tu ka' yondo sista
umetoa mimba zangu tatu, nne, tano sita
naona ndoto mi niko slow mwenzangu uko mbio
umepush """na beti nzima"" mabeste mpaka imo
mimba kama mapepe uKo na skendo
unachofanya unajua mama timiza lengo
ha haha, mwendo chapa nenda huachi pengo
bora kenya mombasa so baadae we uje Bongo

(bridge:Hemed)
we unamabwana, unapaenda gombana
unapenda minyana, unapenda lumbana
we unamabwana, unapenda gombana
unapenda minyana, unapenda lumbanaa

mama kimbo we, usinichoshe we
mama kimbo we, usinichoshe we

we unamabwana, unapaenda gombana
unapenda minyana, unapenda lumbanaa
we unamabwana, unapenda gombana
unapenda minyana, unapenda lumbanaaNo comments:

Post a Comment