bei ya mkaa by Nikki wa pili ft Joh Makini
(Chorus)
Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know ma stereo
Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka meal
Tatzo ni bei ya mkaa
Bei ya mkaa
Bei ya mkaa
bei
Tatzo ni bei ya mkaa
Bei ya mkaa
Bei ya mkaa
bei

(Verse1:Nikki wa pili)
Inabidi wakaonge promo
Na ka ligi aka si ndio somo
Wanawivu mpaka umevuka ukomo
Wamezidi wanachonga domo
Dhidi ya Weusi wale ni watu wa media
Indeedia muziki naufanya hii ni ligi ya
Menstrem ni ubepari chek libya
Syria si mkali maintain kuwa superior
Creativity credibility capality
Ndio speed ya hii sekta
Serikalini wana speed ya traktor
Mshahara ule ule kila mwezi aumati
Wakati biashara ina mwezi wa kismati
Ukiwa smart ni game kulipa vat
Kwanza lipia pango na frame ya mzee kimati
Na haina kiinua mgongo ni kumaintain kick
Mpaka uzeeni kama vile king kiki
Sina kick kuapa kimziki
Kama bi kidude kifo changu ndio peak
Wa pili nikki
Okey

(Chorus)
Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know ma stereo
Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka meal
Tatzo ni bei ya mkaa
Bei ya mkaa
Bei ya mkaa
bei
Tatzo ni bei ya mkaa
Bei ya mkaa
Bei ya mkaa
bei

(Verse2:joh makini)
Magari yanawawakia maskani bila ya starter
Mtihani wa kabwela menu inayofuata
Ukombozi ni maamuzi play smarter
Gheto pia ni shule na somo alkua Papa
Bei ya mkaa,mafuta ya taa na ukapa
Kama uongezi hela zangu chapa lapa
Siwaamini vidampa
Mkumbo sijafuata
Forever young hapa
Kitaaluma rapper
Papa saigon salute mazee
Hip hop Mungu niongezee
Niwe papa mkubwa niwale mapedeshee
Kwa mapaparazi rushwa isiendelee
Maktaba shasi wengi wakajisomee
Pisto yangu nisiwabebe
Papa fransic wa wakristo utuombee
Papa wa tasnia utulegezee
Puff puff ngada usinitembezee
Wanasafisha hela nchini mapedeshee
Mjini kuwalipia video maabay bay
Ule ndio mtaji wa dume aunt dede
Aunt dedee aunt dedee
(Piga freestyle)

(Chorus)
Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka milo
You know ma stereo
Clap clap hizo makofi za kilo
Kitaani kuna njaa nasaka meal
Tatzo ni bei ya mkaa
Bei ya mkaa
Bei ya mkaa
bei
Tatzo ni bei ya mkaa
Bei ya mkaa
Bei ya mkaa
bei

Clap clap (beat
Clap clap
Tatizo ni bei ya mkaa
Bei ya mkaa
Bei ya mkaa
Bei
Tatizo ni bei ya mkaa
Bei ya mkaa
Bei ya mkaa
Bei


No comments:

Post a Comment