let's wait by Cindy Rulz ft Dunga

[Intro]
Ugh its the talk of the town classic
(ha ha ha ha)
Lamar! Fish Crab Cook out
Do you know what we have bee?
(Lets wait a while)
Cindy Rulz, DG
A Fish Crab presentation
Auuuuuu!

[Verse 1: Cindy Rulz]
Nimeanza kuku-feel we since day 1
Nikikuona kama madini ya mererani
Unavyong’aa ukweli you are my number one
Akili umeiteka daily upo kichwani
Ha! Lakini inabidi usubiri hun
Cuz muda sio right now so please let’s wait a while
Na najua unajiuliza lini nitakupa punani
Hhahah but baby you know wagwAnnotatean
Na nikwambie kitu you are always on my mind
Lakini baby me naumia
Kuwa nawe siwezi kusubiria
Nikiwa nawe nakua high bila bia
I think of you while I lie in my bed
And wonder if there’s anything I could have said…
Ah we, kama nimekosa nisamehe

[Hook: Dunga]
Let’s wait a while
(Inabidi tusubiri baby cuz time sio right now so)
Let’s wait a while, my baby
Let’s wait a while
(Inabidi tusubiri baby cuz time sio right now so)
While while while, my baby

[Verse 2: Cindy Rulz]
Think about it boo
Bado niko school
I really like you
But I don’t wanna hurt you
Na moyo wangu uko kwako tu
Nakomaa tu mpaka nifike chuo kikuu
Usione mbali kwangu ni kama kesho tu
Na tutaenjoy real love lile lililo true
Ah don’t worry boo
Cuz the truth is, I really need you
Tatizo mwenzako nina vitu vingi
Na kesho naingia kupiga pindi
Umri mdogo msala akijua dingi
Nataka kua nawe hilo sipingi
Si unakumbuka them times shule ya msingi?
You’re my everything kwako sitaki bling
Naomba unisubirie muda si mwingi
Kwani nataka kua nawe hilo sipingi

[Hook: Dunga]
Let’s wait a while
(Inabidi tusubiri baby cuz time sio right now so)
Let’s wait a while, my baby
Let’s wait a while
(Inabidi tusubiri baby cuz time sio right now so)
While while while, my baby

[Bridge: Both]
Naomba unisubirie eeh eeh
(Naomba unisubiri)
Wewe papi*2
(Siwezi)
Siwezi kwenda kwa mwingine
Let's save this for later
Our love can be greater

[Hook: Dunga]
Let’s wait a while
(Inabidi tusubiri baby cuz time sio right now so)
Let’s wait a while, my baby
Let’s wait a while
(Inabidi tusubiri baby cuz time sio right now so)
While while while, my baby

No comments:

Post a Comment