Chelewa by Navy kenzo

daah I do it do it do it daah
dida dida dida di de x4

Chorus:
Bokodo, Mbona unachelewa chelewa
Bokodo, Mbona unachelewa chelewa
Bokodo, Mbona unachelewa chelewa

Aika:In the city where i stay mila na desturi
mwanaume kwanza heshima,

Nahreel:ohh oh Nishapita kila way,kuonyesha
nilivyokueka kwenye mutima

Aika:Nilifundwa mkole
Dira nzuri kwake kutoka kwa baba na mama,
Mi nahisi bado unanionea labda wewe huna nia
bora uniambie.

Chorus:
Bokodo, Mbona unachelewa chelewa
Bokodo, Mbona unachelewa chelewa
Bokodo, Mbona unachelewa chelewa X3


Aika: Mpenzi usilalamike kuwa mvumilivu najua
unaumia sana,

Nahreel: ohh oh najihisi mpwekee miaka inaenda
na siku zinazidi songa.

Aika:Get on ur knees ena be alright
I can not appear only on yo side
Bring over bring over
i Putch u in de pot
Again ena again
Make ma mama smile
Pay for the whisky
....ma papa high
Put on the wrist
do the chagga dance
I get all the blessings
Yes ur mine
U get all the blessings
and Yes am urs.

Chorus:
Bokodo, Mbona unachelewa chelewa
Bokodo, Mbona unachelewa chelewa
Bokodo, Mbona unachelewa chelewa
Its so cold out here
Na mi nataka kuwa na we
Its so cold out here
Na mi nataka niwe na wewe

Chorus:
Bokodo, Mbona unachelewa chelewa
Bokodo, Mbona unachelewa chelewa
Bokodo, Mbona unachelewa chelewa
dida dida dida di de x4

No comments:

Post a Comment